Taja ni hoja gani sijajibu, halafu namimi nikurudishie hoja zangu sita ulizozikimbiaHaujajibu hoja hata moja ,tafuta mwenye uwezo kama wako wa form four 🤣🤣
Taja ni hoja gani sijajibu, halafu namimi nikurudishie hoja zangu sita ulizozikimbiaHaujajibu hoja hata moja ,tafuta mwenye uwezo kama wako wa form four 🤣🤣
Haujawahi kujibu halafu ubakimbia kimbia sana hutuliiTaja ni hoja gani sijajibu, halafu namimi nikurudishie hoja zangu sita ulizozikimbia
Kareseat form four ufute hiyo zero, usome certificate upate angalau ajira ya tamisemi uhame kwa shemeji yako, hizo ni stress ndo unazo, unashindwa kujibu hoja unatoa maneno matupu tuHaujawahi kujibu halafu ubakimbia kimbia sana hutulii
🤣🤣🤣Nyie si mnajiriwa la saba na form four ,si umesema mwenye hata certificate na diploma ulikuwa haujuiKareseat form four ufute hiyo zero, usome certificate upate angalau ajira ya tamisemi uhame kwa shemeji yako, hizo ni stress ndo unazo, unashindwa kujibu hoja unatoa maneno matupu tu
Wewe hujui hata wizara za nchi yako, hujui kama kuna wizara ya ulinzi umekariri ya mambo ya ndani tu, afu unajiita una degree, huna hata certificate hapo maana hujui vitu, degree yangu moja tu hata uunganishe akili yako na ya baba yako hutoboi kuisoma🤣🤣🤣Nyie si mnajiriwa la saba na form four ,si umesema mwenye hata certificate na diploma ulikuwa haujui
🤣🤣🤣We form four acha ubishi naona mishahara imetajwa unaanza kulia lia...Jamaa hauna uwezo wewe umefeli Form four.Wewe hujui hata wizara za nchi yako, hujui kama kuna wizara ya ulinzi umekariri ya mambo ya ndani tu, afu unajiita una degree, huna hata certificate hapo maana hujui vitu, degree yangu moja tu hata uunganishe akili yako na ya baba yako hutoboi kuisoma
Si ujibu hoja sita unakumbia nini?🤣🤣🤣We form four acha ubishi naona mishahara imetajwa unaanza kulia lia...Jamaa hauna uwezo wewe umefeli Form four.
🤣🤣🤣🫠 Umeshindwa kutaja ,haujajibu swali hata mojaSi ujibu hoja sita unakumbia nini?
Mpaka leo la 7 wanaajiriwa 😳🤣🤣🤣Nyie si mnajiriwa la saba na form four ,si umesema mwenye hata certificate na diploma ulikuwa haujui
Duh form iv huyu kuwa afisa asahau kabisa, yeye ni V tu🤣🤣🤣We form four acha ubishi naona mishahara imetajwa unaanza kulia lia...Jamaa hauna uwezo wewe umefeli Form four.
Mwanajeshi halipwi mshahara ni posho tu ya kujikimu. Wewe unaweza kuutoa uhai wako kwa milioni moja au mbili? Kuna idara msizifanyie mzaha.Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.
Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa
Wanapaswa kutambua wanajeshi tunaishi nao mitaani kwahiyo hakuna siri.
Tunajua Jeshi ni kada muhimu lakini bado sio sahihi kufanya hivi kwani haileti picha nzuri kwa umma.
Washauri muwe msaada kwa viongozi na si vinginenyo.
Si aliomba mwenyewe? nani alimlazimishaMwanajeshi halipwi mshahara ni posho tu ya kujikimu. Wewe unaweza kuutoa uhai wako kwa milioni moja au mbili? Kuna idara msizifanyie mzaha.
Huyo jamaa anaongelea darasa la saba na form four mwaka 2025 ,huko jeshini mpaka watu wa degree wanaenda na kutemwaMpaka leo la 7 wanaajiriwa 😳
🤣🤣Sasa wamehamia kwenye ujuzi hata polisi wanatoa kwa watu wenye ujuzi ...Hao darasa la saba na form four ni wa zamani sana.Duh form iv huyu kuwa afisa asahau kabisa, yeye ni V tu
Wanatemwa sio kwa merits bali kwa kukosa wa 'kuwashika mkono'Huyo jamaa anaongelea darasa la saba na form four mwaka 2025 ,huko jeshini mpaka watu wa degree wanaenda na kutemwa
Ajira ni ngumu halafu tatizo sokoni wanaingia kwa uhitaji wa level tofauti ,labda wenye elimu fulani wana idadi yao na wengine wana idadi yao hata fani kila fani kuna idadi yao .Wanatemwa sio kwa merits bali kwa kukosa wa 'kuwashika mkono'
Nawewe ulikuwa unatoa hoja vzr tu now umekuwa kama huyo ndugu yako, unaamini mimi ni form fourDuh form iv huyu kuwa afisa asahau kabisa, yeye ni V tu
Wewe ndo umeshindwa na huko ni kunikimbia kijanja afu ulisema mi ndo nitakukimbia, hata uwezo wa kufikri huna. Hoja sita zote hakuna hata moja uliyojibu, njoo na majibu ya hoja wacha janja janja.🤣🤣🤣🫠 Umeshindwa kutaja ,haujajibu swali hata moja
Mbs zenyewe hauna ,wapi umetaja? 🤣🤣entry level zaidi unazunguka ...Nime'bold ila bado haulewi kabisa ,huku kwenye Taasisi hawataki Form four kama wewe ..Wewe ndo umeshindwa na huko ni kunikimbia kijanja afu ulisema mi ndo nitakukimbia, hata uwezo wa kufikri huna. Hoja sita zote hakuna hata moja uliyojibu, njoo na majibu ya hoja wacha janja janja.
Entry level nilishajibu kuwa sitaji, taasisi zingine zina usiri siyo za hovyo hovyo kama ulizozoea. Nimejibu nadhani ni mara ya tatu, nawewe jibu hoja zangu sita uache uzwazwa, mmenishambulia watu kadhaa mimi nipo mmoja mmenishindwa, na dalili ya kuwa mmeshindwa, badala ya kujibu hoja za msingi mnaniattack mimi personallyMbs zenyewe hauna ,wapi umetaja? 🤣🤣entry level zaidi unazunguka ...Nime'bold ila bado haulewi kabisa ,huku kwenye Taasisi hawataki Form four kama wewe ..