pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Eti taasisi peke yake ambayo Rais hawezi kuiongelea ni usalama wa taifa kwa hiyo wewe unahisi usalama wa taifa na jeshi usalama ndo wana umuhimu sio? Hawezi kuwaongelea sababu wale ni walinzi wake narudia tena wale ni walinzi wake na kingine Rais hawezi kuwasema sababu akilala akiamka anaona analindwa kumbe nchi yetu hii ina amani ko usiongee ongee tu.-Taasisi pekee ambayo Rais hawezi kuiongelea utumbo ni Idara ya Usalama wa Taifa na Ujasusi,hao ndio wananusa mambo ya kila kona hadi kwenye majeshi yote wananusa.
-Kuhusu mgomo wa madaktari, huwezi kulinganisha ubora wa madaktari wa MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL as well as MUHAS pale ndio centre of medical professionalism huwezi kulinganisha na huko kwenu kulikojaa incompetent.
-kuhusu hao waliokuwa mipakani Mozambique huko hao wote wakiumia vibaya watapelekwa national hospital kama last resort kabla ya kwenda nje ya nchi for medical purposes.
- madaktari ndio priority number one, kama ni kulindwa tunaweza kulindwa hata na majeshi ya kigeni Incase jeshi letu haliko stable,
- Kama hawalali hiyo ni juu yao ndio kazi waliyoachagua Tena hata kwa kutumia connection kuipata,mwenzio daktari katumia akili nyingi sana compared na wewe uliyemaliza form IV, labda nikuulize swali wewe kazi yako inahitaji IQ kubwa kuliko medical specialists ?
Ukija kwenye vyombo vya ulinzi na usalama Jw kutokana na majukumu na umuhimu wake ndo maana wakapewa u-seniour kuliko majeshi yote ingekuwa kama unavyosema wewe hapo basi wangepewa wao kingine usalama kazi zao hata polisi wanafanya kama ulikuwa hujui na scenario nyingi au taarifa nyingi zinatoka upande wa Polisi kitengo cha Intelijensia kuliko hara hao usalama kama ulikuwa hujui.
*Unasema unaweza kulindwa kulindwa hata na majeshi kutoka nje sasa nakuuliza Hilo lililotoka nje ni nini kama sio jeshi au labda ni chapati zile zije zikulinde.
Kingine unasema sijui hakuna competent nakwambia tu ni kwa asilimia kadhaa tu na si haba kuna wakati Jeshi liliajiri wataalamu wa moyo, watalaam wa mionzi sikumbuki na vingine huko lakini sio haba asee.
Kingine unasema kuwa kana hawalali ni kazi yao ndio ni kazi yao kukulinda wewe ili utibu vizuri wananchi na usiweze kubugudhiwa na mtu yoyote yule.
Kingine unasema hii kazi ya Jeshi hawatumii akili mingi sasa acha nkwambie tu hivi unajua ya kwamba vita ni Sayansi sijui unalijua hilo na kingine Sema nnao bishana nao hapa kama wewe hivi ni maraia ila nkwambie tu kuna mapigano bila akili kubwa hotoboi asee nasema tena akili.