Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Mzee angalau wanapokea shiling ngapi sio wamelipwa lin.. Mzunguko ni ule ule ,so haina tija mtu mwingine malipo yao hao ni mara mbili yake ni kawaida ...Hawana maajabu ,naishi nao huku sana ni majirani zangu ,ile leverage yao ya mikopo ila kwingine kawaida sana..
 
Bwashee
Mbona wote wamelipwa pamoja na wataafu?
 
Hawawezi kuficha maana tuna ndugu wanajeshi na wameshatutumia cha kupozeshea Pasaka! Nchi hii ina changamoto sana na bahati mbaya Rubani mwenyewe anapelekwa puta utafikri hana ubongo!
 
Kumbe una ajira ya serikali?

Hongera sana

Tatizo linakuja kwenye usiri wa taarifa za serikali
 
Wana tafuta consistence katika katika majeshi
 
Nadhani vyombo vyoteulinzi na usalama wamelipwa....
 
Inaonekana hazina na serikali ya mama hawajui leo ni pasaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…