Aliyetayari kutulia kuitwa mume wa mtu aje hapa

Ndoa ni nini? Ni degree au?
Unamu-ekitia nani?
Actors & actress wapo bongo movie kawaigizie hao.
 
Ujataja sifa zako lakini bibie, usijekuta unataka mwanaume mwenye digree wakati wewe std 7.
 
Eti na sharti awe na degree, yaani upumbavu huu wanawake haujawahi kuwaacha salama.
Watu tuna darasa la saba hatujawahi kulala njaa.
We bakia na huyo anaeranda na mifuko ya kaki jinga kabisa.
Tehteehhh.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nipo tayariiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…