sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Vipi maendeleo mkuu huko pm?Tayari niponae kule PM....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi maendeleo mkuu huko pm?Tayari niponae kule PM....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ndio maana naongeza bidii ili walau nami nikuje nikule mdada mwenye atanitoa huku maporini.... tehteehhhSasa wewe mshirombo, hayo mambo utayaweza kweli?[emoji848][emoji848][emoji848]
Mambo sio mabaya mkuu, karibu tujipange foleni.... tehteehhhVipi maendeleo mkuu huko pm?
Eti na sharti awe na degree, yaani upumbavu huu wanawake haujawahi kuwaacha salama.Kwajeuri hii na maneno yasio hekma, wewe hufai kua mke hata kwa kupewa bure aiseeeee
sipo naye pm unikomee usinizoeTayari niponae kule PM....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ujataja sifa zako lakini bibie, usijekuta unataka mwanaume mwenye digree wakati wewe std 7.Mambo zenu?
Mimi ninahitaji kutulia sana.
nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia
unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi unakuhusu but kama hujatulia usije .
mimi napendelea mwanaume awe handsome hata akivaa nguo anapendeza.
hapa ni single tu nawatafuta.
awe mrefu wa wastani sio mfupi awe muelewa.
msomi kuanzia degree nakuendelea ajipendee kabisaa sio awe mchafu mchafu.
apende maendeleo walevi siwataki,malaya no,wambeya hapana.
bongo movie wale yaani wao nikuact maisha no.
nahitaji uwe mkweli.
uwe unawaza vitu vyakujenga sio kulalana tu.
miaka 33-36.
KAMA UPO SERIOUS NJOO UNIPM KAMA HAUPO SERIOUS USIJEE.
Nakusubiri umalize utupe mrejesho Mkuu,ili kama vipi niedit CVMambo sio mabaya mkuu, karibu tujipange fileni.... tehteehhh
Huu uzi wakikutana Hajar na familia yake ya bandia naona utavurugwa mda si mrefu.Huyu ana stress ngoja apambane na haliyake.
Tehteehhh.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Eti na sharti awe na degree, yaani upumbavu huu wanawake haujawahi kuwaacha salama.
Watu tuna darasa la saba hatujawahi kulala njaa.
We bakia na huyo anaeranda na mifuko ya kaki jinga kabisa.
Mamy, huu mchezo hauhitaji hasira!!sipo naye pm unikomee usinizoe
Tulia dada,acha hasira,anataka kukupeperushia ndege wako nin?sipo naye pm unikomee usinizoe
Sasa tukukome vipi wakati wewe ndie umeweka tangazo la biashaya yako hapa....sipo naye pm unikomee usinizoe
Sasa hapo tu ndo umejionesha kwamba haufai kuitwa mke wa mtu.sipo naye pm unikomee usinizoe
Naona bado anachambua CV na vyeti vyangu, hadi apate cha degree ambayo ndio kwake ni kipaumbele.... tehteehhhNakusubiri umalize utupe mrejesho Mkuu,ili kama vipi niedit CV
Keshaniharibia siku.Tehteehhh.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nipo tayariiiiiiiMambo zenu?
Mimi ninahitaji kutulia sana.
nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia
unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi unakuhusu but kama hujatulia usije .
mimi napendelea mwanaume awe handsome hata akivaa nguo anapendeza.
hapa ni single tu nawatafuta.
awe mrefu wa wastani sio mfupi awe muelewa.
msomi kuanzia degree nakuendelea ajipendee kabisaa sio awe mchafu mchafu.
apende maendeleo walevi siwataki,malaya no,wambeya hapana.
bongo movie wale yaani wao nikuact maisha no.
nahitaji uwe mkweli.
uwe unawaza vitu vyakujenga sio kulalana tu.
miaka 33-36.
KAMA UPO SERIOUS NJOO UNIPM KAMA HAUPO SERIOUS USIJEE.
Mmmmmh....shunie.Inaweza ikawa fursa hii...
Vumilia tu mkuu, tuliambiwa tuishinao kwa akiliKeshaniharibia siku.
[emoji23][emoji23] Mimi MuislamMmmmmh....shunie.