Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Dah nimechelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda namuonea wivu, ama namtaka mie...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mbona wamzibia rizki mtoto wa mwanaume mwenzio?
AiseeeNyonyo bado saa sita au kusimama kwake mpk ukienda kisimani?
Bila shaka hiyo ama naipigia mstari [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda namuonea wivu, ama namtaka mie...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tayari niponae kule PM....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Bila shaka hiyo ama naipigia mstari [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anayesagia unamaanisha nini mrembo?akuu sipendi mtu anayesagia kwanza
Swahiba naona unahamu ya kubebwa mgongoni kwenda kuogeshwa maji yalotiwa hiriki na karafuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi jibu PM yangu ili tuyajenge, maana namimi natafuta toto la kibondei lenye malezi ya kumtii mume mwenye tabia kama zangu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kila la heri, nimekubali kuitwa wifi.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Tayari niponae kule PM....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Swahiba naona unahamu ya kubebwa mgongoni kwenda kuogeshwa maji yalotiwa hiriki na karafuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahKesho atapunguza atasema natafuta alie tayari kuoa tu
Huku hadharani ndio unamuita wifi, lakini huko kwingine unamuita mke mwenzio[emoji39] [emoji39]Kila la heri, nimekubali kuitwa wifi.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Oohoh! Swahiba sasa naona unataka kunizibia riziki kwa mtu ninayemfukuzia hapa jf [emoji134] [emoji134] [emoji134]Huku hadharani ndio unamuita wifi, lakini huko kwingine unamuita mke mwenzio[emoji39] [emoji39]
Sasa wewe mshirombo, hayo mambo utayaweza kweli?[emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 758833
Hapo pigia mstari amigo... tehteehhh
Toba....[emoji87] [emoji87]Oohoh! Swahiba sasa naona unataka kunizibia riziki kwa mtu ninayemfukuzia hapa jf [emoji134] [emoji134] [emoji134]