Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yea, si kila mtu..Waje wale wanowasingizia polisi kwenye kila utekaji
Hauko serious hata kwenye mambo ya msingiWaje wale wanowasingizia polisi kwenye kila utekaji
Zingati SI KILA MTU.
Utakuwa na akili za kipumbavu!Waje wale wanowasingizia polisi kwenye kila utekaji
Maigizo tu ngoja tufatilie kesi ya huyo mtu,Maigizo.kuna mtu anatolewa SadakA.
Maigizo tu ngoja tufatilie kesi ya huyo mtu,Maigizo.kuna mtu anatolewa SadakA.
Huyo mmoja wa watekaji aliwahi kumteka nanitukio ili linatokea siku chache tu baada ya mmoja wa watekaji kusema si kila anayepotea serikali inahuska.
WAJINGA NDIYO WALIWAO.