Aliyetekwa akutwa ameuawa na kuzikwa nyumbani kwa mtu Tabora

Aliyetekwa akutwa ameuawa na kuzikwa nyumbani kwa mtu Tabora

Huu utekaji Kwa 90% ni mabiff miongoni mwa jamii kwa jamii,hasa dhulma,hakuna kitu kinaumiza mioyo ya watu mpaka kuwafanya kuwa makatili wa kutisha kama kudhulumiwa jasho lako na mdhulumaji kujitapa humfanyi lolote!
Mkuu inavyodaiwa hao jamaa walimteka janja na ili wamwachie walitaka hizo milioni 50 baada ya kuzikosa ndio wakafanya huo ufedhuli wao.Inavyosemekana lakini.
 
Waje wale wanowasingizia polisi kwenye kila utekaji
Huu mtindo umeasisiwa na polisi wenyewe ndio mana na raia wakaamini kumbe inawezekana kuteka kimya kimya na kukawa shwari?

Lakini nikifikiri nje ya box kwa polisi wetu hawa waongo waongo hawa wanaweza kumtengenezea mtu kesi ya namna hii ili kuendelea kujisafisha kutoka kwenye tuhuma za utekaji kama mtu huyo wana visa naye

Wanaweza wakamkamata kimya kimya kama hana familia kubwa waka kaa nae huko usiku mnene wakaja na vijana wao kwenye nyuma yake wakachimba shimo wakafukia mtu hapo huku mwenye nyumba wakiwa nae kituoni halafu baada ya kama siku mbili tatu wanajifanya wanapitia kwenye uongozi hapo kwamba mtuhumiwa kakikiri kuna mwili umefukiwa hapo na makamera na nini ili basi waendelee kujisafisha kwamba wao sio watekaji, kama wanavyo fanyaga kwenye madawa ya kulevya nk. Kukiamini hiki chombo yafaa uwe na mtundio kidogo,wana usenge mwingi sana polisi wetu hapa bongo
 
Back
Top Bottom