Aliyetekwa akutwa ameuawa na kuzikwa nyumbani kwa mtu Tabora

Unakuta tangazo la nyumba kuuzwa na sababu ya kuuzwa ni kama hiyo. Bora kujenga nyumba kuliko kununua kwa mtu ikiwa imejengwa.
Umeongea jambo la msingi sana ambalo linapaswa kuzingatiwa.

Hizi nyumba ambazo mtu anaamua kuuza kwa bei chee tu huwa zina mambo mengi sana meusi, sio kila nyumba inayouzwa kwa bei chee muuzaji anakuwa anabanwa na dharula ya pesa yenye ulazima wa kuitatua muda huo.
 
Kesi ya KIFO/MAUTI Mlalamikaji wa kwanza ni JAMUHURI/SERIKALI.

Mzazi/Ndugu/Mke/Mume/Watoto nyie mnabaki kama SHAHIDI mwenye kesi yake hapo ni SERIKALI

HUsikiagi unaambiwa wewe ni MALI YA JAMUHURI, ndio hapa sasa.
Mawakili wa serikali, kujenga hoja ili kumtetea marehemu hapo ndipo Kibatala anauliza PGO😳
 
Serikali inateka na kuua,raia wake wanatekwa na kuteka na kuua na kuuwawa,serikali yenyewe haiuwawi
 
Nawaza tu walichomfanya kwenye chumba cha mahojiano hadi akasema ukweli. Chamzo nini?
Wakikutia mikononi utasema tu,achana na ya mwangi kumpakua kinyesi kwa mikono kisha kumnyunyizia yule dem mganda,hao jamaa Wana mbinu nyingi
 
USENGE TU , AKINA BEN SAANANE , MDUDE , KIPANYA , CHAULA ,SOKA NK WAPO WAPI MBWA NINYI ?
 
Kwa akili za kinyumbu kama hizi chadomo hawawezi kukosa wafuasi
Maigizo tu ngoja tufatilie kesi ya huyo mtu,
Polisi wanajua kutengeneza ya kijingajinga kama hayo .
Hakuna cha mtu kutolewa sadaka wala nini .
Hayo ni maigizo ya Polisi .
Wajinga sana hao jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…