Aliyetoka kwenye mkesha wa Mwamposa Dar afia ndani

Kuna mama kila siku anakazi ya kunishawishi nitumie mafuta ya upako ili mipango yngu job ikae sawa pamoja na kumfahamisha mafuta ninayo (babycare) kunisistizia tu nafasi niliyonayo sio ninayostahili wakat kazi yenyewe sina kabisa
 
Huyo marehemu ni mjinga sana. Hela ya nauli toka Arusha hadi Dar alipata ila ya kula akakosa.

Vidonda vya tumbo badala aende hospitali apewe dawa yeye anaenda kwenye maombi.

Watu wapumbavu sana.
Huwezi kuombewa maombi eti upone vidonda vya tumbo sio rahisi jamani acheni imani za kijinga. Mimi ninazo dawa za kukutibu vidonda vyako vya tumbo ukapona sina dawa ya kukuombea eti upone vidonda vyako vya tumbo. Kwa Mwenye Vidonda vya Tumbo Kansa za aina zote maradhi yoyote yale yasiyoweza kutibika Hospitali anione mimi kwa wakati wake mgonjwa nitakutibia na utapona maradhi yako. .
 
Siku I mefika
 
... siku mkesha ndio unaanza, mchana wake, nilipata supu safi sana kwa bei rahisi hapo Kawe, ... nilipojivunga kurudi kesho yake, baada ya mkesha, hata karanga zilikuwa adimu, YAANI WATU KAMA WOTE!
😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…