Aliyetoka kwenye mkesha wa Mwamposa Dar afia ndani

Sasa kafia nyumbani kwake Mwamposa anahusikaje? Kuwa mtu akienda kwa Mwamposa ataishi milele au ? Kuwa hata siku yake ya kufa aliyopangiwa na Mungu aside au?

Wewe ndie mjinga.Watu walienda kwa Yesu wakapona lakini leo hatunao duniani ulitaka kuwa sababu Yesu aliwaponya kuwa walitakiwa kuwa hai hadi leo wasife au?
cc: muhomakilo jr
 
Msukule mwingine huyu
 
Wajinga ndio waliwao
Ni mpumbavu huyo Mzee...yaani unajijua una vidonda vya tumbo ... Baada ya kula unakaza siku tatu bila kula kisa Mwamposa ... fwalaaa sana huyo Mzee.... Tena wakati wa kuzika wachimbe shimo kubwa kama la choo Ili asumbuke kutoka siku ya ufufuo akute tumeshapaa mbinguni....
 
Ndo yale ya shakahola watu wanakufa kama mazezeta wakati akili wanazo
 
Wakati tunajadili haya, ni vyema tukatambua kwamba wanaokwenda kwenye maombi kwa ajili ya kuponywa maradhi, obviously ni wagonjwa, so possibility ya wao kufikwa na mauti ni kubwa hata kabla hawajaenda kuombewa
 
Huyo marehemu ni mjinga sana. Hela ya nauli toka Arusha hadi Dar alipata ila ya kula akakosa.

Vidonda vya tumbo badala aende hospitali apewe dawa yeye anaenda kwenye maombi.

Watu wapumbavu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vyakula vilikuwa vya shida au hakuwa na hela? Mule ndani kwenye ibada niliona hadi mtu anauza smart gin na fegi nasema ukweli kabisa kwani nami niihudhuria ibada hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Back
Top Bottom