Aliyetoka kwenye mkesha wa Mwamposa Dar afia ndani

cc: muhomakilo jr
 
Msukule mwingine huyu
 
Wajinga ndio waliwao
Ni mpumbavu huyo Mzee...yaani unajijua una vidonda vya tumbo ... Baada ya kula unakaza siku tatu bila kula kisa Mwamposa ... fwalaaa sana huyo Mzee.... Tena wakati wa kuzika wachimbe shimo kubwa kama la choo Ili asumbuke kutoka siku ya ufufuo akute tumeshapaa mbinguni....
 
Ndo yale ya shakahola watu wanakufa kama mazezeta wakati akili wanazo
 
Wakati tunajadili haya, ni vyema tukatambua kwamba wanaokwenda kwenye maombi kwa ajili ya kuponywa maradhi, obviously ni wagonjwa, so possibility ya wao kufikwa na mauti ni kubwa hata kabla hawajaenda kuombewa
 
Huyo marehemu ni mjinga sana. Hela ya nauli toka Arusha hadi Dar alipata ila ya kula akakosa.

Vidonda vya tumbo badala aende hospitali apewe dawa yeye anaenda kwenye maombi.

Watu wapumbavu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vyakula vilikuwa vya shida au hakuwa na hela? Mule ndani kwenye ibada niliona hadi mtu anauza smart gin na fegi nasema ukweli kabisa kwani nami niihudhuria ibada hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…