Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio ccm bhana , Unafiki Mtupu ! Chama kimoja mipango tofauti .
Wala siyo mara ya kwanza , Hata huyu Shaka Hamdu alisimamishwa na Magufuli kuwa katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa rushwa aliyokula kwenye uchaguzi wa Meya , Lakini Mama akamteua kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa .
PIA, SOMA:
- Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka