kwani wewe ulikua tanzania au Afganistani?Nimeshangaa sana uteuzi wa huyu mama. Ingawa kweli wanadai ni msomi mzuri na ndiyo maana alipata kazi kirahisikule ECASSA na kuwa Mtendaji Mkuu, je huyu mama ni kweli alionewa na JPM? Yaani amrudishwa faster faster tu na Samia wakati wastaafu ndiyo kwanza wanafurahia ile fomula ya kikokotoo kuamriwa kuendelea na JPM. Na usomi wake huyu mama kwenye kikokotoo alikosea.
Jiwe alionea wengi sana.Huyu Irene alifanya kazi nzuri sana SSRA na kuja na mapendekezo ya kuweza kufanya mifuko iwe na afya kifedha lakini Mchizi akamtema kwa sababu ya ujinga tu