Aliyetumbuliwa na Hayati Magufuli ateuliwa tena na Rais Samia Suluhu

Hii ndio ccm bhana , Unafiki Mtupu ! Chama kimoja mipango tofauti .

Wala siyo mara ya kwanza , Hata huyu Shaka Hamdu alisimamishwa na Magufuli kuwa katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa rushwa aliyokula kwenye uchaguzi wa Meya , Lakini Mama akamteua kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa .

View attachment 2009519
Sio huyo tu yani kwa sasa kinachofanyika ni unafiki tu watu wote waliotimuliwa kwa uwizi wanachaguliwa tena ili mzee Magu aonekane mbaya kali zaidi mama mmoja ana kampuni ya mawakali na alikuwa anawatete richmond dhidi ya serikali kwa sasa ndio kapelekwa tanesco tena kwenye management sijui kituko gani kinaendelea Tanzania Mungu ibariki Tz tuiombee nchi Yetu shetani anataka kuiangamizA.
 
Alitumia Vetting gan kumuweka doto James hazina??
 
Unapata dhambi za mawazo kwa kupiga ramli za "kwa msisi"....

Wewe dada wa Kyela mimi silipwi viposho ili nikomenti humu.....endelea kunihisi upendavyo tu miye si "lofa" dadangu.....🤣🤣

Kama unavyojinasibu kufanya na kukesha kwa ajili ya uzalendo wako kwa Mh.Mbowe nami uzalendo wangu kwa JMT na CCM chama bora Afrika....
"...uzalendo wako kwa JMT na..." nini?
Huo ni uzalendo bandia.
 
Samia alisema hafoki ila anatumia kalamu.

Samia ananena kwa kalamu, na bila kupepesa anaonesha anavyozipinga kwa nguvu zote zilizokuwa sera za marehemu kuhusu uhusiano wa kimataifa, sera za uwekezaji na biashara, sifa za wanaostahili kushika ofisi mbalimbali, n.k. Ndani ya miaka 3 ijayo, wateule wa marehemu katika ofisi mbalimbali, itatakiwa kutumia kurunzi kuwaona. Kama wapo wenye uelewa japo mdogo, wajiandae kisaikolojia na kimikakati namna ya kuendesha maisha yao tofauti na nafasi walizo nazo sasa.
 
Hii ndio ccm bhana , Unafiki Mtupu ! Chama kimoja mipango tofauti .

Wala siyo mara ya kwanza , Hata huyu Shaka Hamdu alisimamishwa na Magufuli kuwa katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa rushwa aliyokula kwenye uchaguzi wa Meya , Lakini Mama akamteua kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa .

View attachment 2009519
Magufuli alikuwa anawatumbua watu kwa chuki tu
 
Hii ndio ccm bhana , Unafiki Mtupu ! Chama kimoja mipango tofauti .

Wala siyo mara ya kwanza , Hata huyu Shaka Hamdu alisimamishwa na Magufuli kuwa katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa rushwa aliyokula kwenye uchaguzi wa Meya , Lakini Mama akamteua kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa .

View attachment 2009519
Mimi na Magufuli ni kitu kimoja

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyu dada najua alie nyuma yake ni EL....baada kutembelewa nyumbani nikajua mchezo umeisha...Mzee atakuwa vimemp vyake 3 hivi ikiwemo la huto dada....basi sawa tunasahau haraka sana huyo aliteuliwa faster Mzee EL alipoachowa urais...wakati watu 2 juu wakiwa wanaranda.....ndipo alipoteuliwa na EL .....JK akiwa ughaibuni tunajua yote.....Mzee alikula vinono hasahau fadhila kamweee ......
 
Ohoooo
 
Hueleweki

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio ccm bhana , Unafiki Mtupu ! Chama kimoja mipango tofauti .

Wala siyo mara ya kwanza , Hata huyu Shaka Hamdu alisimamishwa na Magufuli kuwa katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa rushwa aliyokula kwenye uchaguzi wa Meya , Lakini Mama akamteua kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa .

View attachment 2009519
Watakuja watakwambia ccm mbere kwa mbere
 
Hii ndio ccm bhana , Unafiki Mtupu ! Chama kimoja mipango tofauti .

Wala siyo mara ya kwanza , Hata huyu Shaka Hamdu alisimamishwa na Magufuli kuwa katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa rushwa aliyokula kwenye uchaguzi wa Meya , Lakini Mama akamteua kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa .

View attachment 2009519
Mama hana hata chembe ya hisia za uadilifu isipokuwa tu zulia analojificha in the eyes of the public.
 
Hii ndio ccm bhana , Unafiki Mtupu ! Chama kimoja mipango tofauti .

Wala siyo mara ya kwanza , Hata huyu Shaka Hamdu alisimamishwa na Magufuli kuwa katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa rushwa aliyokula kwenye uchaguzi wa Meya , Lakini Mama akamteua kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa .

View attachment 2009519

kwan Magu mwenyewe si alishatumbuaga na baada ya miez michache akateua aliowatumbua.. katika nyadhifa tofauti...
 
Back
Top Bottom