Aliyetumbuliwa na Hayati Magufuli ateuliwa tena na Rais Samia Suluhu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
So vetting department ya Magu ilikuwa na information tofauti na vetting za Hangaya.
Serikali ileile na wabaya walewale
Maumivu kwa cc wachini
Usalama wa Taifa Uleule [emoji38][emoji38]
 
Ni Sawa na Laigwanan Lowassa kuchafuliwa na baadhi ya watu ndani ya CCM wakishirikiana na Chadema na kisha Chadema kumsafisha na kumteua urais katika ile "kubadili gia angani kwa mh.Mbowe".
 
Ni Sawa na Laigwanan Lowassa kuchafuliwa na baadhi ya watu ndani ya CCM wakishirikiana na Chadema na kisha Chadema kumsafisha na kumteua urais katika ile "kubadili gia angani kwa mh.Mbowe".View attachment 2009533
Nje ya mada , sema kwa vile mnalipwa kwa post siyo mbaya ukichomekea ili uongeze posho
 
Nje ya mada , sema kwa vile mnalipwa kwa post siyo mbaya ukichomekea ili uongeze posho
Unapata dhambi za mawazo kwa kupiga ramli za "kwa msisi"....

Wewe dada wa Kyela mimi silipwi viposho ili nikomenti humu.....endelea kunihisi upendavyo tu miye si "lofa" dadangu.....🤣🤣

Kama unavyojinasibu kufanya na kukesha kwa ajili ya uzalendo wako kwa Mh.Mbowe nami uzalendo wangu kwa JMT na CCM chama bora Afrika....
 
Masikini hujinasibu kwa maandiko yake na tabia zake , huwezi kutetea uonevu au uzushi halafu ukajinasibu kuwa mzalendo , haijawahi kutokea
 
Kwa TAFSIRI rahisi Mama ana yake na Magufuli ana yake hakuna cha Viatu wala nini
 
Masikini hujinasibu kwa maandiko yake na tabia zake , huwezi kutetea uonevu au uzushi halafu ukajinasibu kuwa mzalendo , haijawahi kutokea
Kama ulivyo masikini mtetea uzushi wa sera za majimbo kinyume kabisa na misingi ya uhai wa taifa hili.....mnakosa uzalendo kwa kutumiwa huku mkijua ama kutokujua.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…