Aliyetumbuliwa na Hayati Magufuli ateuliwa tena na Rais Samia Suluhu

kwani wewe ulikua tanzania au Afganistani?

Jiwe alionea wengi sana.Huyu Irene alifanya kazi nzuri sana SSRA na kuja na mapendekezo ya kuweza kufanya mifuko iwe na afya kifedha lakini Mchizi akamtema kwa sababu ya ujinga tu
 
yaani haiwezekani mtu kupangiwa majukumu mengine kabisa,kwani kanuni ya uteuzi inasemaje!!
 
Wengi tu walionewa kwenye awamu ile
 
Samia anasaini tu wala hawajui ata kwa kifogo anaowateua, kumbuka kumteua kada wa chama kuwa Mkurugenzi TPDC badae baada ya masaa 12akamrudisha Mataragio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeonewa na JPM siyo Dr. Irene peke yake. Alimuonea pia katubu mwenezi wa ccm ndugu Shaka A. Shaka alivyomtumbua ukatibu wa ccm mkoa wa Morogoro.

Mama alipoingia fasta tu akampandisha na kuwa katibu mwenezi Taifa.

Jiwe alikuwa siyo mtu.
 
Hivi nyie mazuzu,huyo JPM wenu yeye Nani kwenye hii Nchi Hadi kila ambacho yeye alikikataa Basi Wengine wasifanye??!

Yeye alitumbua watu kwa chuki tu na ukanda na udini, Samia Hawezi kufanya huo ujinga,anasimamia haki na utu
 
Ni kweli alimuonea.

Alipewa mzigo wa kikokotoo utafikiri yeye peke yake ndio alihusika kutengeneza, wakati ile ilikuwa ni move ya Serikali nzima. Kwa hasira mpaka shirika la SSRA likavunjwa.
 
kwani wewe ulikua tanzania au Afganistani?

Jiwe alionea wengi sana.Huyu Irene alifanya kazi nzuri sana SSRA na kuja na mapendekezo ya kuweza kufanya mifuko iwe na afya kifedha lakini Mchizi akamtema kwa sababu ya ujinga tu
Mzee alikuwa na roho mbaya Sana, Cha ajabu wenye roho mbaya huwa wanaishi umri mrefu, roho yake yeye huenda ilizidi mnoo,

Kuna wengi ambao walitumbuliwa kwa chuki tu,tena walidhalilishwa kabisa
 
Ni kweli alimuonea.

Alipewa mzigo wa kikokotoo utafikiri yeye peke yake ndio alihusika kutengeneza, wakati ile ilikuwa ni move ya Serikali nzima. Kwa hasira mpaka shirika la SSRA likavunjwa.
Hii ni kweli tupu!
 
Magufuli ali creat hii hali ya kuwa ametumbuliwa lakini kiualisia SSRA ilikuwa imemaliza muda wake baada ya ku form mifuko miwili kutoka minne na kuweka uniformity ya mafao kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi.Irene hakutumbuliwa ilibidi wauvunje na shughuli ya kusimamia mifuko miwili ibaki chini ya wizara na Janister .Sasa kwa sababu Marehemu alitaka msikie mnachokipenda badala ya kusema SSRA imemaliza kilichokusudiwa na kuvunjwa rasmi kama ilivyopitishwa na bunge kuwa imemaliza kazi yake akaja na ile ile slogan mnayoipenda ya "nimemtumbua" Tulioko serikalini ikiwemo Rais wetu wa sasa anaelewa kilichofanyika na ndio maana amemrudisha.Sasa msimbebee bango mama wa watu kuwa nanamrudisha yeye sio leo kaanza kuongoza serikali alikuwepo wakati wa JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…