Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

Mimi sifikirii upuuzi wa huyo Jamaa maana anavuna alichopanda huku akimgharimu mtoto.

Nafikiria baada ya kujua kama jamaa akumuua na kumchoma basi walipaswa wafuate taratibu za mazishi.

Tena bila mtoto kujua.
Ooh sawasawa
 
apumzike kwa amani dada yetu, dada zetu mliobakia msi date waislamu kuna gharama kubwa …
 
#UPDATES Mwili wa marehemu Naomi Orest Marijani aliyeuawa na mume wake kisha kuchomwa moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku na mume wake Hamis Luwongo Mei 15, 2019 Maeneo ya Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es Salaam, unaagwa kwa baba yake mdogo maeneo ya Mtoni Kijichi leo Ijumaa Machi 14, 2025 kwaajili ya kusafirishwa kwenye maziko nyumbani kwao Moshi Kilimanjaro.

Hii ni baada ya hukumu iliyotolewa Februari 26, 2025 na Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam na Jaji wa mahakama hiyo Hamidu Mwanga kunyongwa hadi kufa kwa aliyekuwa mume wake Hamis Luwongo kukutanika na hatia ya kumuua mke wake wa ndoa, Naomi Marijani. #EastAfricaTVView attachment 3270098
Moshi Kilimanjaro au Upareni? Mbona Wapare hampendi kutaja kwenu?
Wapare Malaya Sana
 
Huyo hamisi inasemekana hakumuua Kwa kukusudia mke wake ispokuwa mke wake alikuja usiku nyumbani kutokea kwenye pombe na alipomuuliza Kwa Nini umechelewa kukawa na purukushani Hadi yule mkewe akaangukia kisogo kutoka ghorofani na kupelekea kufariki.ili kukwepa hatia ya kuua ndiyo akafanya namna alivyofanya kumchoma kama njia ya kufuta ushahidi.Hii iliandikwa na boniphas yai kule X zamani Twitter.Na yeye alijua baada ya kukaa gererzani na kukutana na huyo hamis akamwekeza Hali halisi ilivyokuwa.
 
Mimi sifikirii upuuzi wa huyo Jamaa maana anavuna alichopanda huku akimgharimu mtoto.

Nafikiria baada ya kujua kama jamaa akumuua na kumchoma basi walipaswa wafuate taratibu za mazishi.

Tena bila mtoto kujua.
Kwamba huyu mtu hakuchomwa moto au una maanisha nini??
 
Licha ya funzo hili bado kuna mtu ataua au kuuwawa kwa style kama ya naomi, binadamu wamekuwa kama wanyama tu.
 
Back
Top Bottom