mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Alimpenda na aliwekeza sana kwake...alafu huyu jamaa alipotokea hadi kufikia hapo alipo dah alishapiga hatua kubwaHamisi ni Muislam kwanini asinge ongeza mke na Dini ina ruhusu tena Wake wa nne, Yeye angel mke mwingine tu mbona Dar pisi kali zipo nyingi tu tena angeo mke wa pili na angeishi nao pamoja, Wazee wetu hawakufanya matukio ya kikatili kwasababu walikua wana oa wake wengi utakuta Mwanaume kaoa wake 6 au 4 kwahiyo Mke mmoja akizingua anaamia kwa wengine.
Ni bora angeaachana na mwnaamke tu aendelee na maisha yake ,sema kila mwanadam na kichwa chake
Ova