Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

Aliyeuawa na Mumewe 2019 kuagwa leo

Katazame video za mtoto wao jinsi alivo kwenye huu msiba..yaani kabla hujafanya lolote kama una watoto watazame usoni, ufikirie maisha yao baada ya maamuzi yako yatakuaje!?



Hivi mbona story ni vice vers mwanaume ndo alirud asubuh baada ya kutokua nyumbani siku 5 alikua kwa mage..na mzozo ulianza baada ya simu ya mwanaume kuita alikua anapigiwa na huyo mage...gather your facts kabla hamjaongea upuuuzi 😏
Ww ndio umepotoka ushahidi ni ule nimekupatia hapo
 
Khamis alifanya kazi kubwa ya kuficha ushahidi lakini alijulikana.Mapambano yote aliyoyafanya ya kusaka life ili familia iishi vizuri imekuwa siyo pole kwa khamis nasikia alibadilisha mpaka dini kwa ajili ya Naomi.Yule mtoto wao walitakiwa wasimwambie hadi afikie ukubwani
 
Jamaa alianza kudanganya mahakamani kwamba hakumuua Naomi yupo atamtafuta
Ila Jeshi la Polisi bwana likiacha kutumia akili za CCM, ni Jeshi moja zuri sana! Unapigwa interrogation mpaka unasema ukweli na unaenda kuonesha ulipoficha!
 
Alimpenda na aliwekeza sana kwake...alafu huyu jamaa alipotokea hadi kufikia hapo alipo dah alishapiga hatua kubwa
Ni bora angeaachana na mwnaamke tu aendelee na maisha yake ,sema kila mwanadam na kichwa chake

Ova
Siku zote ukishirikisha akili kwenye maamuzi na kuacha sikiliza hisia na roho, huwezi fanya maamuzi ya kukosea.
Hisia na roho husababisha majuto makuu.
Roho ikifurahi au kukasirika husababisha maafa makubwa sana
 
Majivu yanasafirishwa hadi UPARENI? Kwenye coaster? Wapare punguzeni UMALAYA
Naona thread nzima umekomas na wapare, vipi kabila lako nyie ni saints hakuna wazinzi na malaya?
 
Mateso kwa mtoto tu , akifikisha miaka 18 wamkabidhi nyumba aliyoiacha Mama/Baba Yake.
 
Mimi pia MALAYA/MPARE wa Ndungu
Sawa malaya wewe, usijumuishe kila mtu kwenye issue ya umalaya, hakuna kabila lisilo na wahuni, wezi, majambazi, wachawi na malaya. Unataka kuniambia pale Ndungu kila mwanamke ni malaya?
 
Sawa malaya wewe, usijumuishe kila mtu kwenye issue ya umalaya, hakuna kabila lisilo na wahuni, wezi, majambazi, wachawi na malaya. Unataka kuniambia pale Ndungu kila mwanamke ni malaya?
Sisi Wapare ni Malaya tunajuana
 
Back
Top Bottom