Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Yaani jamaa very bogus tena akawananga wanajeshi wa tz eti wapowapo tu hawana kazi kwa hiyo rais amuombe kagame awachukue akawape kazi wanajeshi wa tanzania... Maneno haya anayapata baada kupata uhuru kunya mavi mengi bila kusikia milio ya risasi au kusikia mama ake kachinjwa na waasi
 
Siyo akawape kazi, alisema nanukuu

"Ikiwezekana mkuu wa majeshi amuombe Kagame pambano la kirafiki"

Mwisho wa kunukuu, asante kwa kunisikiliza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani jamaa

Mbona milio ya risasi kwenye nchi hii mingi tu au wewe unafikiria risasi inasikika wakati wa kupigania uhuru tu?
una akili fupi sana za kisisiem,
Mwandishi wa habari mwangosi aliuliwa kwa nini?
Ben saa nane amepotea vipi?
Mawazo aliuliwaje?
Lisu alishambuliwaje na risasi?

Wewe jamaa hata hujielewi kumaa lako
 
Hao watendaji wenyewe ndo type za kina masanja na Steve nyerere Kuna kitu hapo tena..
 
Hahaha kenge wewe uliyetolewa marinda Gaidi Mbowe
 
Tatzo ni mifumo na vetting mbovu, Siyo kila sherehe lazima wajinga wawepo ili kuongea ujinga wao, mambo ya kitaifa na hasa ukiwa na wageni kutoka nchi jirani lazima ujue unaongea nini na kipi unyamaze nacho. Tatzo thinking tank ya nchi hii wengi ni bogus, wanafiki na kufanya vitu kimazoea lakini pia hawajifunzi wapi wanakosea, sehemu kama ile watu wasio na uelewa mpana wa mambo ya dunia siyo hata wa kupewa nafasi ya kusema ujinga wao
 
Hahaha Yaani watu naona mmechafuuukwa kwelikweli... Kwani nyie hamjui kazi ya masanja. Kazi ya masanja hapo ilikua niku-entertain tu. Kwahiyo hakua serious na alichokua anaongea. Na ndicho alichoitiwa kufanya. Sasa mnashaangaa nini ? Kama mnataka vya maana rais wenu si alitoa hutuba ? Au nayo ilikuaje ?
 
Punguza jazba baba . Utapata presha bure tukuzike Kabla ya wakati wako. Hao majamaa hapo waliitwa hapo kama entertainers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…