Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.

Kama tuliona Masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nini? Aliyempa tenda Masanja anafanya nini Ofisini?
Kwani umesahau kama a wamu ya 5 bado ipo ile ile ameondoka mtu mmoja tu pale sasa yule babu tale na mwana FA wanafaida gani ktk kile kikao cha ccm ktk lile jengo analolisimamia yule ndungai
 
Sio Masanja na huyo Nyerere tuu ulikuwa ujinga wa kuchosha watu bali Kuna wale wa tenzi, kwaya, ngoma za wakubwa na watoto
Sijui mshamba gani kaandaa upuuzi ule halafu tutambiwa mabilioni yametumika
 
Kwahiyo Ulitaka watu Kama wakina nani kwamfano ? Masanja Ni maarufu na anaingiza pesa kwaajili ya huo huo mnaoita ujinga. Na hapo kaitwa kwaajili ya kufanya huo huo ujinga maana wafuatiliaji wapo.
Kwani nyie wenzetu ni wageni na comedians ?
Yani huo upumbavu ndiyo comedy??
Wewe amekuchekesha?? 😂😂😂
 
Sema Masanja nae chenga asee yani kujiongeza hajui,anajua kwamba Kenya walipatwa na nzige juzi kati hapa na rais wao alikuepo bado analeta pigo kama zina kejeli flani hivi(sio tafsiri rasmi), anaposema sisi Mungu anatupenda huwezi ona vitu kama nzige(ndio ni ukweli lakini binafsi nimeona kazingua)
Lile jamaa pimbi Sana,eti Mungu anatuheshimu.
 
Yani huo upumbavu ndiyo comedy??
Wewe amekuchekesha?? 😂😂😂
Upumbavu kwako ila kwa wengine ni burudani . Yani ule mzaha mzaha na mautani ndio watu wengine wanaenjoy hatufanani bhana ..... wewe Kama ulienjoy zile ngoma za utamaduni sawaa ni wewe 😁
Ila cha muhimu kilichofurahisha kawapa message yao wale wanokoz wote na ndio wanaotoka mapovuu 🤣🤣
 
Yaani jamaa

Mbona milio ya risasi kwenye nchi hii mingi tu au wewe unafikiria risasi inasikika wakati wa kupigania uhuru tu?
una akili fupi sana za kisisiem,
Mwandishi wa habari mwangosi aliuliwa kwa nini?
Ben saa nane amepotea vipi?
Mawazo aliuliwaje?
Lisu alishambuliwaje na risasi?

Wewe jamaa hata hujielewi kumaa lako
Naona umejaa mifano ya chadema tuu...yaan hata wanaharakati wa Tanzania nao kama masanja tuu....hawaelewi wanapambania nini miaka 60 ya Uhuru.
 
Naona umejaa mifano ya chadema tuu...yaan hata wanaharakati wa Tanzania nao kama masanja tuu....hawaelewi wanapambania nini miaka 60 ya Uhuru.

Kwa akili zako fupi kwa hiyo mtu akiwa chadema ndio anatakiwa kuuwawa au kudhuriwa?
 
Yani kumpa nafasi Masanja azungumze kwenye ile halaiki bora wangefungasha wanyama kama twiga, tembo,faru,fisi nk wakapitishwa kwenye magari ya wazi ingekua kutangaza utalii kuliko hiyo aibu ya Masanja na yule mwenzie
 
Kwa akili zako fupi kwa hiyo mtu akiwa chadema ndio anatakiwa kuuwawa au kudhuriwa?
Utakuwa mjinga. Kwani hao uliowataja hawana ndugu wa kuwasemea? Siasa za upinzani hazina Sera ya maendeleo Bali ni visa,visasi na uchochezi. Headless chicken.
 
Utakuwa mjinga. Kwani hao uliowataja hawana ndugu wa kuwasemea? Siasa za upinzani hazina Sera ya maendeleo Bali ni visa,visasi na uchochezi. Headless chicken.

Fala sana wewe sasa unajuaje sina undugu na kati yao?
Acha unafki na roho mbaya siasa sio visa,visasi,wala uchochezi hizo ndio siasa za kipumbavu
 
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.

Kama tuliona Masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nini? Aliyempa tenda Masanja anafanya nini Ofisini?
Poleni wenye nafasi ya kuanga lia na kusikiliza tbccm yenu
 
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka...
Kwanza ujiulize walioandaa hiyo shughuli uwezo wao ukoje? Yaani pale ninavyowaelewa walitamani hata gwaride la jeshi letu tiifu lisiwepo ili wawajaze wajinga wajinga kama hao. CCM kutumia akili ni kama mvua jangwani. Watu kama hao ndio unategemea eti walete suluhisho la umeme, maji na njia za kupunguza umaskini. Ni watu waliofilisika akili na maarifa, hohehahe wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom