Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Kwahiyo Ulitaka watu Kama wakina nani kwamfano ? Masanja Ni maarufu na anaingiza pesa kwaajili ya huo huo mnaoita ujinga. Na hapo kaitwa kwaajili ya kufanya huo huo ujinga maana wafuatiliaji wapo.
Kwani nyie wenzetu ni wageni na comedians ?
Huo ushuzi uishie huko kwenye vtv vyenu koko
 
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka...
Mmmmhhhh Tabia mbayaaaa
 
Jamaa boya sana alafu majestically linatamka hadharani kwamba tangu miaka 60 ya uhuru nchi yetu haina vita, serikali inanunua vifaru havitumiki kwamba Rais aongee na kagame tutesti mitambo.
Jinga sana jamaa......
huwa najiuliza hivi hawafanyagi mazoezi mbele ya maafisa wa serekali kabla ya kuongea ikiwezekana kuedit ama kutoa baadhi ya maneno yasiyofaa!!!?
 
Upumbavu kwako ila kwa wengine ni burudani . Yani ule mzaha mzaha na mautani ndio watu wengine wanaenjoy hatufanani bhana ..... wewe Kama ulienjoy zile ngoma za utamaduni sawaa ni wewe 😁
Ila cha muhimu kilichofurahisha kawapa message yao wale wanokoz wote na ndio wanaotoka mapovuu 🤣🤣
yani umeinjoy upumbavu unaofedhehesha taifa mbele ya viongozi wa mataifa mengine.
Huu ugoro muwe mnakula wenyewe huko lumumba.
 
Yani ndio mnajikuta eti nyie mko serious kwenye kila issue kwenye inji hii 😂😂😂
Hata hamtaki kuelewa kwamba hapa hawa watu wanaburudisha tu umati...
Ata kama ni burudani ile burudani ilikuwa ya kiboya wewe binafsi kipi kilikufanya uburudike ktk burudani ile!
 
Fala sana wewe sasa unajuaje sina undugu na kati yao?
Acha unafki na roho mbaya siasa sio visa,visasi,wala uchochezi hizo ndio siasa za kipumbavu
Zuzu kabisa....sasa kama una undugu na mmoja kati yao hujui utaratibu wa kufuata kuwasilisha mawazo/malalamiko yako? Hapa unatafuta mileage ili iweje....kosoa panapostahili lakini acha uchochezi dhidi ya serikali.
 
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.

Kama tuliona Masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nini? Aliyempa tenda Masanja anafanya nini Ofisini?

Ni watu wengi wanapaswa kujitafakari na huu utopolo:

Aisee.. Masanja kaniangusha sana!

Yani hata bavicha hawana ujinga wa kiwango hiki
 
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka...
Mnahangaika tu ndio hamjui kuwa hao ni washamba wenye u maarufumkubwa tu, wote hao hawafikishi birthday 10 mjini ndio maana wakipata umaarufu umbwigira mwingi!
 
Kwa upumbavu alioropoka ingekuwa ni kipindi cha magufuli angezawadiwa hadi cheo
 
Dah! Mie mwenyewe nimeona aibu kweli yaan wale wachekeshaji sijui walikua wanafanya nini dah!! Yaan aibu sitak hata kukumbuka! Bora hata wangewapa wasanii wetu waimbe tu au wangepitisha hata wanyama wetu tu wa chato pale
 
Sema Masanja nae chenga asee yani kujiongeza hajui,anajua kwamba Kenya walipatwa na nzige juzi kati hapa na rais wao alikuepo bado analeta pigo kama zina kejeli flani hivi(sio tafsiri rasmi), anaposema sisi Mungu anatupenda huwezi ona vitu kama nzige(ndio ni ukweli lakini binafsi nimeona kazingua)
Ni kweli Mkuu, Kenya juzi kati walikumbwa na baa la nzige sasa Masanja juzi karopoka mbele ya Wageni waalikwa akiwemo Rais wa Kenya. Ni vyema akachagua cha kuzungumza asilipukelipuke tu, na awe na mipaka na anayozungumza.Binafsi juzi nilikuwa uwanjani nilikwazika na kauli yake hiyo. Kingine alitamka baadhi ya watu mnasema Mama yaani Mh Rais anasafiri sana mnataka baba yenu ndio asafiri? kauli kama hizo mbele ya maelfu ya Watanzania waliokuwa uwanjani sioni kama zina afya. Masanja ajifunze kuwa na busara.
 
Ujinga tu tena hapo niliona upuuzi tu hata kutizama
 
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka.

Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.

Kama tuliona Masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nini? Aliyempa tenda Masanja anafanya nini Ofisini?
Hii ndio Tz. ndugu, ukweli tunajiabisha sana kama nchi,
Hivi tulishindwa kupata watu wenye akili japo nasi tuonekana tuna akili japo kdg?
Ndio maana tunahangaika na kesi za ajabu kabisa hadi majirani wanatushangaa tunaitana magaidi!
 
Ni kweli Mkuu, Kenya juzi kati walikumbwa na baa la nzige sasa Masanja juzi karopoka mbele ya Wageni waalikwa akiwemo Rais wa Kenya. Ni vyema akachagua cha kuzungumza asilipukelipuke tu, na awe na mipaka na anayozungumza.Binafsi juzi nilikuwa uwanjani nilikwazika na kauli yake hiyo. Kingine alitamka baadhi ya watu mnasema Mama yaani Mh Rais anasafiri sana mnataka baba yenu ndio asafiri? kauli kama hizo mbele ya maelfu ya Watanzania waliokuwa uwanjani sioni kama zina afya. Masanja ajifunze kuwa na busara.
Na mwishoni ikaonekana picha ya Kagame na Kenyatta wakiwa wamesimama wanaongea,itakua mmoja analalamika khs nzige mwingine khs Vita [emoji1][emoji1][emoji1]
 
hv kwanza masanja alienda pale mbele kufanya nn

ni kuchekesha au??
kwa sababu nimeisikiliza hio clip lakini sioni pakucheka
sana sana kaninunisha tu na utumbo alioutapika

halaf nasikia jamaa ni pastor na ana waumini kabisa...
aisee hii nchi inapitia wakati mgumu sana
 
Back
Top Bottom