Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Upo kama mimi, nilikuwa nikimpongeza sana Mwendazake alipokuwa akisitisha hizi sherehe. Hazinaga umuhimu wowoteSiwezi kupoteza muda kuangalia hayo maonyesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kama mimi, nilikuwa nikimpongeza sana Mwendazake alipokuwa akisitisha hizi sherehe. Hazinaga umuhimu wowoteSiwezi kupoteza muda kuangalia hayo maonyesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sherehe zijazo tunamleta huyu[emoji16][emoji16][emoji16]CCM tupo vizuri
View attachment 2038246
Wengine tumeona ya wenyewe kwa wenyewe ya Rwanda hatuhitaji kusikia achilia mbali kuona.Masanja atuombe radhi tulioshuhudia madhara ya vuta ya Kagera.
Mchungaji anaomba vita?!!!!!
Huu ujinga hata Chadema hawana!
Bora wangewachukua FATAKIX10 angemchukua Mpoki
HahahaSio Masanja na huyo Nyerere tuu ulikuwa ujinga wa kuchosha watu bali Kuna wale wa tenzi, kwaya, ngoma za wakubwa na watoto
Sijui mshamba gani kaandaa upuuzi ule halafu tutambiwa mabilioni yametumika
Sintashangaa nikija kusikia ni shoga jamaa ni tapeli flani wa waziwazi kabisa af unakuta kuna boya anamuita MchungajiMasanja ni mtu wa kujipendekeza yani anaishi mjini kisanii tu , ni mropokaji sana
Huu ujinga hata Chadema hawana!