Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Masanja atuombe radhi tulioshuhudia madhara ya vuta ya Kagera.

Mchungaji anaomba vita?!!!!!

Huu ujinga hata Chadema hawana!
Wengine tumeona ya wenyewe kwa wenyewe ya Rwanda hatuhitaji kusikia achilia mbali kuona.
Mkuu nakosa neno na jina la kumpa huyu Mbaba naogopa bani
 
Sio Masanja na huyo Nyerere tuu ulikuwa ujinga wa kuchosha watu bali Kuna wale wa tenzi, kwaya, ngoma za wakubwa na watoto
Sijui mshamba gani kaandaa upuuzi ule halafu tutambiwa mabilioni yametumika
Hahaha

Ova
 
Mtu kashaitwa comedian lolote litakalotoka mdomoni mwake ni comedy
 
Masanja ni mtu wa kujipendekeza yani anaishi mjini kisanii tu , ni mropokaji sana
Sintashangaa nikija kusikia ni shoga jamaa ni tapeli flani wa waziwazi kabisa af unakuta kuna boya anamuita Mchungaji
 
Back
Top Bottom