Aliyewahi kuagiza Alibaba au anajua office zao zilipo kwa Dar

ni ndege naona kama wanachelewesha navumilia tuu ,nataka niongoze mzigo uje kwa meli ndo niliwafikiria shamwaa lakini umenikatisha tamaa kuhusu huduma zao
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baadai yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar Kwa gharama nafuu

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili ss tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958

Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.
 
Tafadhali naomba mawsiliano yako nakuomb tafadhali au kama utapend naomba ufanye kama msaada kwangu nakuomba namba yangu whats app ni 0626517799
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baadai yakuona thread Yako. Mizigo yako inafika ndani ya siku 3-5

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar Kwa gharama nafuu

Unaeza agiza nasi hatakama huna pesa kamili ss tukanunua Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958

Tuko kariakoo Msimbazi B karibu na kituo cha polisi.
 
Nilitaka kuagiza chainsaw lakini wanataka mpaka ziwe kuanzia tano wakati mm nataka kwa matumizi yangu binafsi
 
Njoo nikuagizie moja ofisini kwangu, japo mimi huwa naagiza spea za magari. . .

Be ready kusubiri mwezi na nusu meli kufika.
 
Nilitaka kuagiza chainsaw lakini wanataka mpaka ziwe kuanzia tano wakati mm nataka kwa matumizi yangu binafsi
Karibu FAGO EXPRESS tunakuagizia ndani ya siku 3-5 umeipata tupo kariakoo krb na kituo cha polisi msimbazi B Whatsapp+255765018958
 
Sawa. HK ni bidhaa. Aina gani?
Vipi Kama mzigo haujazidi kilo au unezidi kilo moja na haujafika kg 2?
HK ni bidhaa za (kimiminika) eg perfume, toothpastes products and such, hizi bei yake ni constant kwamaana ya sensitivity wake haipandi haishuki na pia haijalishia kama ni kilo 1 au 2 au chini ya hapo itachajiwa same price ya $13.5
 
Elekeza tu kwa faida ya wote.
Kwa mzigo Kama nguo na hazijazidi kg moja au una 1.3 kg
HK ni bidhaa za (kimiminika) eg perfume, toothpastes products and such, hizi bei yake ni constant kwamaana ya sensitivity wake haipandi haishuki na pia haijalishia kama ni kilo 1 au 2 au chini ya hapo itachajiwa same price ya $13.5
 
Unaweza niunganisha nahuyo dem anaetabasam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…