Aliyewahi kumiliki hili gari atuambie sifa yake

Hatchback ndio mpango mzima, binafsi saloons sizipendi sana. Well, labda vile sina hela.
 
Uko sahihi kabisa
 
Hatchbacks ni multipurpose hasa kwa maisha yetu haya ya kiafrica, unaweza kuifanya ya kubebea mizigo kama ilivyo funcargo pia unaweza kuifanyia matumizi mengine sababu ya nafasi yake kubwa. Kwa vile ukikunja viti unapata hata pa kulala kama chumbani. Nadhani hii imezipa nafasi ya kupendekezwa zaidi kuliko sedans cars
 
Hatchback ndio mpango mzima, binafsi saloons sizipendi sana. Well, labda vile sina hela.
Nadhani hapo baadaye kidogo kulingana na hali ya kimaisha kuendelea kuwa ngumu, wengi wetu tutajikuta tukikimbilia zaidi kwenye hizi hatchbacks na station wagon, tena kuna uwezekano wa kupanda sana bei kwa sababu ya uhitaji mkubwa
 
Kwa uzoefu wangu Corona premio old model ni gari nzuri na ni ngumu, ni jamii ya hizi Carina Ti na Corolla, ila yenyewe ina engine kubwa zaidi na inachanganya haraka sana kuliko mark ii hizi zenye engine ya 4s, pia ni front wheel drive. Nimeiendesha kwa miaka miwili mfululizo non-stop
 
UTOFAUTI WAKE NA PREMIO YA 2004 NI NINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…