Aliyewahi kumiliki hili gari atuambie sifa yake

Aliyewahi kumiliki hili gari atuambie sifa yake

Ww fuata chaguo la moyo wako ukisikiliza ushauri wetu wwngi hatuna magari ila ni hodari wa kujifanya tunayajua sana. Mtu hajawahi miliki hata bajaji mbovu alafu anakuambia gari ya kizamani. Ww ukiwa nayo na yeye anayepanda daladala nani anakua comfortable zaidi. ingatia yako mkuu ushauri upo ila kwa mambo machache hiyo gari ukifanikiwa kuinunulia japani utaishi nayo mpka uichoke
 
Nisawa juzi kuna jamaa yangu kaingiza kama hii kwa 27 mkp mkononi.
Umenena vema nami hesabu ndio zilifikia hapo na nimefanya utafiti kwa kina mpaka ofisini kwa Zakayo ghrama zinakuja hapo ila wale vishoka waliniambia 32m nikagoma nikaona mchakato nifanye mwenyewe
 
Hapo Safi mzee, hiyo gari ni nzuri sana rafiki yangu anayo ni gari nzuri sana na ukizingatia siyo bei mbaya kama haya magari mengine tuliyo yakariri
Nikweli mkuu 27m imegotea hapo so sio vibaya kuliko harrier niliambiwa 31m mpaka mkononi
 
Muonekano wa 2004 ni wa kisasa zaidi na perfomance ya premio 2004 ni ya kisasa ila kwa uimara hili ni yale alinunua babu sasa mjukuu anatumia.
ni vyema zaidi akavuta premio 2004 maana hata running cost sio ghali sana kwa gari zote hizo
 
Kama sio mtu wa fashion na kufuata mikumbo ya kitoto hilo ni gari la maana sana kwa matumizi na mazingira yetu.

Fundi hutomuona mara kwa mara na ukimuona % kubwa utakayekutana naye atajua namna ya kurekebisha tatizo.

Kama bado unajijenga kiuchumi, Nunua hilo malizana na ishu ya usafiri endelea na mambo mengine. Mbadala wake carina Ti.
Hapo nimeipata na nimekubali sheikh.nalitamani Hilo gari,Carina na mwisho kabisa escudo nikabebee mayai huko mkuranga.thanx brother
 
au anunue run x pia
Mkuu, Run x, Ist, Spacio, Premio, Allex, na zifananazo na hizi zote ni gari zinazomfaa kijana wa kitanzania. Ila kama ana shughuli za mikoani kwenye mazingira magumu rav 4 1st and 2nd gen, Premio 1st gen ndio sahihi zaidi.
 
Mkuu, Run x, Ist, Spacio, Premio, Allex, na zifananazo na hizi zote ni gari zinazomfaa kijana wa kitanzania. Ila kama ana shughuli za mikoani kwenye mazingira magumu rav 4 1st and 2nd gen, Premio 1st gen ndio sahihi zaidi.
Vipi Toyota cammi
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom