Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Unamuongelea cami huyu pacha wa daihatsu au camry?Vipi Toyota cammi
Mkuu halafu mm si mtaalam sana wa magari ila kutokana na shughuli za ofisi niliyopo nimejikuta nikipata nafasi ya kutumia brand nyingi.