Aliyewahi kumiliki hili gari atuambie sifa yake

Vipi Toyota cammi
Unamuongelea cami huyu pacha wa daihatsu au camry?

Mkuu halafu mm si mtaalam sana wa magari ila kutokana na shughuli za ofisi niliyopo nimejikuta nikipata nafasi ya kutumia brand nyingi.
 
B

Bado zinapatikana sana tu mkuu, tena siku hizi naona Wabishi wengi wanarejea sana kwenye hizi gari old model kama vile corolla 111, A100, starlet nk.
🤣🤣🤣🤣🤣 Hizo gari si azili wese
 
Je ni sawa carina ti
Kwenda 9-10km/ltr kwa safari za mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…