Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

Aliyewahi kupitia Changamoto za Nguvu za Giza katika harakati za ufugaji pitia hapa

Mkuu Kuna sehemu panaitwa mto ruvu vizembe kama sijakosea Ile ardhi Ina rutuba sana. Jamaa mmoja alikuja akununua kama heka 100 heka 50 zote akafyeka na kung'oa visiki akachimba na mabwawa ya ufugaji samaki!


Alikuwa karibu na shamba nililokuwa nafanya kazi Mimi.

Katika Hela hizo alilima nyanya tikti na vitunguu

Vitunguu hakuvuna.
Nyanya alivuna ila chini ya target vibaya mno tikiti kama Mpira wa Watoto...

Samaki ndo kabisa hata sijui ilikuwaje. Alirudi dar Kwa shot ya mamilion na alikuwa amekopa mkopo

Akanunua tractor na akafungu pump kubwa ya kuvutia maji kutoa mtoni. Ni Hivi alikuwa hasara hata robo ya pesa yake aliyowekeza hakupata.


Mwingine huko uko vizembe kandokando ya mto kabisa
Tulivuna vitunguu Ile grade1 tulipata gunia 160. Grade iliyofata sikumbuki ila ndo vilkuwa vingi kulikuwa grade1


Alipofikisha dar ndani ya siku3 mzigo uliza wote! Haya mambo si ya kuzimuliwa nimeona mwenyewe

Panaitwa gwata vizembe huko mtoni ruvu. Huyo wa vitunguu ulikuwa mradi wa mwanamke Mme wake alikuwa anatembea Kila kikwete anakoenda wafanyakazi wake walikuwa wanasema ni muhasibu wa Jk.
Ni mjomba hana hamu na kilimo hahahahaha
 
Back
Top Bottom