TANZIA Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Mjini, Dkt. Amani Walid Kabourou, afariki dunia

R.I.P Daktari!

Huyu alisaidia sana kuifanya Kigoma kuwa ndio ngome kuu ya upinzani kupitia CHADEMA!
 
Dah huyu kamanda alijimaliza kabisa alipohamia chama cha maslahi
imekuwa kama yule msabaha wa cuf, nilimuona zanzibar naona kama akili sio zake, nahisi wapemba walimpiga kipapai aisee, sio bure, manake alipotoka kigoma tu, hali yake ikambadilikia
 
Nakumbuka wananchi wake walivyokuwa wana mbeba juuu kwa juuu
Pumzika kwa amani mzee
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…