Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaliti hawezi pumzika kwa amani, atakiwa kulipia gharama za usaliti!Pumzika kwa Amani, kamanda msaliti
Kwanini mazishi yawe Dar kigamboni si Kigoma
Yani nyie wabunge mliokimbia kwenu, mungu anawaona.
Mkuu umeambiwa keshakufa hapahapa sasa akafie mbele wapi tena?Akafie mbele huko Na Mungu asimueeke peponi
Ka historia kadogo,,,
Huyu Kaburu alikuwa mpinzani toka Enzi za Nyerere akafukuzwa shule form 3 eti kosa alimtoboa Nyerere macho (picha )
Baada ya kuanzishwa vyama vingi alirudi toka USA akajiunga na upinzani, nakumbuka mwaka 1994 nilihudhuria mkutano wake wa hadhara na akanishawishi nikajiunga na chama chake. Alisababisha vijana wengi wa sekondari kule kigoma kuingia matatani kwa kuiga staili yake ya uvaaji na akawa katibu mkuu wa CDM halafu akasepa akaenda CCM. Toka wakati huo sikuwahi tena kusikiliza wanasiasa na nawapuuza hadi leo. RIP Kaburu
Bora angeenda TLPAliihama chadema na kwenda ccm2004 hivi
Hamna sehemu ningesema alikuwa anamiliki chamaWanasiasa hawana vyama bujibuji.
Ndio Chama cha Mashetani?Chama Cha Mauaji