Hili sio muhimu.Muhimu ni Mtanzania mwenzetu aliyetoa mchango wake kwa nchi ametutoka ili tushiriki kumhifadhi na kutoa rambirambi zetu.Si vinginevyo.Ni mwanachama wa Chama gani? R.I.P
Kama unataka kujua mengine katoe rambirambi kwenye msiba nyumbani kwake Dar Uulize hayo maswali yako ya kipuuzi.Wenzako wanatoa maneno ya faraja wewe unauliza chama? kweli, Ukijibiwa hapa utaanza kuuliza alikuwa na mali gani.
Mawazo ya wasiojulikana.Sorry bro.