TANZIA Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Mjini, Dkt. Amani Walid Kabourou, afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Mjini, Dkt. Amani Walid Kabourou, afariki dunia

Ni mwanachama wa Chama gani? R.I.P
Hili sio muhimu.Muhimu ni Mtanzania mwenzetu aliyetoa mchango wake kwa nchi ametutoka ili tushiriki kumhifadhi na kutoa rambirambi zetu.Si vinginevyo.

Kama unataka kujua mengine katoe rambirambi kwenye msiba nyumbani kwake Dar Uulize hayo maswali yako ya kipuuzi.Wenzako wanatoa maneno ya faraja wewe unauliza chama? kweli, Ukijibiwa hapa utaanza kuuliza alikuwa na mali gani.

Mawazo ya wasiojulikana.Sorry bro.
 
Back
Top Bottom