TANZIA Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Mjini, Dkt. Amani Walid Kabourou, afariki dunia


Duh this is too much,i never dreamed or expecting to see such a post from a normal Tanzanian,now i need to change my attitude,that things are nor longer at easy,so no longer business as usual,but rather is business unusual!!!
GOSH
 
Duh this is too much,i never dreamed or expecting to see such a post from a normal Tanzanian,now i need to change my attitude,that things are nor longer at easy,so no longer business as usual,but rather is business unusual!!!
GOSH
Ubaya ubaya tu sahv

Ova
 
kama kile kilichompata Baba junior mume wa Mushumbusi balozi mteule wa Sweden, aka. the shoopkeeper

Stupid....jifunze ku address Majina ya watu kama yalivyo....
Kilichompata nini?
 
R.I.P
 
Kesi yake ya uchaguzi dhidi ya Premji ilikuwa ni mfano mzuri wa uhuru wa mahakama. Alifanikiwa kutengua ubunge wa mwana ccm Premji kwa hoja kwamba serikali ilimpigia kampeni wazi wazi akiwemo rais Mwinyi wakati huo. Ni hukumu rejea nzuri sana, bahati mbaya uhuru wa court siku hizi ni questionable. Mahakama ilitasfiri ni wakati/mazingira gani rais anatakiwa asimame kama mwenyekiti wa chama wakati anakifanyia kampeni chama chake nk.
 
Aaa wacha zako kwa nini unacomment?
 

Attachments

  • FB_IMG_1493442525299.jpg
    24.9 KB · Views: 33
Tutamkumbuka sana - tutaenzi kwa vitendo na maneno nasaha zake juu ya nchi na chama chetu cha MAPINDUZI - tutaendelea kuhimiza Amani, Usalama wa Taifa letu, na mambo mengine mengi.

Pumzika kwa amani rafiki na kipenzi chetu
 
nikweli aliewahi kuwa mbunge kigoma
 
mimi mwanaccm akifa naona raha sana!tena naombeni mnijuze hivi ndugai bado anapumua?
 
Sama alikuwa katibu mkuu wa Chadema muasi kama Lipumba..
Mungu amuweke panapo mstahili.
 
RIP. Lkn mtu anapofariki inatufundisha tufahamu kwamba mabaya tunayofanya hapa duniani hutufuata hata huko tuendako.

Yafaa tumuogope Mungu na tuwapo madarakani tutende mema tukijua kuwa kesho ni zamu yetu. Tuache vitendo vya kuuwa au kuteka watu kisa, tunatofautiana ki mitizamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…