cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Jokate huyu mama totoo.? WoiiiiiihSwaiba wake jokate,Apumzike mahala pema,
Ila uyu jamaa alikua mchapa kazi sana,Ruvu jkt inazidi kua na maendeleo makubwa ,ana mchango wake mkubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jokate huyu mama totoo.? WoiiiiiihSwaiba wake jokate,Apumzike mahala pema,
Ila uyu jamaa alikua mchapa kazi sana,Ruvu jkt inazidi kua na maendeleo makubwa ,ana mchango wake mkubwa sana
UshmenRIP classmate wa jamaa fulani humu JF
Binafsi najua mambo yake kibao sema nimeamua kumsitiri marehemu...Nimefuatilia koment kuanzia peji ya kwanza hadi hii ya sita nimegundua mwamba hakuwa na makandokando mengi maana jf huwa haicheleweshi
Ex wako niniBinafsi najua mine do yake kibao sema nimeamua kumsitiri marehemu...
Hapana..shemegi yanguEx wako nini
Kipindi chake Ruvu utawala mwingi na hata baada ya kuondoka alikua anakuja sanaRIEP Maj Gen wana Ruvu tutatukukumbuka daima, laiti Magufuli angekuwa hai ungeshakuwa CDF Kitambo sana, kina Msuguri na mwenzie Sarakikya bado wanadunda tu
Kipindi chake pale Ruvu hapakua na kazi nyingi kama sio Bustani ni kwenye kuku ila baada ya pale alivokuja Mnyani tulikoma kila akiona sehemu ya wazi alitaka palimweTuliopitia jkt tunajua huyu mzee alikuwa hapendi kuruta aonewe, akikuta askari anamuonea kuruta anaweza hata akampa adhabu lakini pia alikuwa mtu poa hata kwa wanajeshi wenzie, kwa kifupi alikuwa anakubalika ndio maana wengi walisikitika alivyonyimwa u-cdf baada ya magu kufariki
Huyo Mnyani ndio kiboko yenu!anapatikana wapi apewe ndio U cdf vijana wazembe kabisa nyinyi!Kipindi chake pale Ruvu hapakua na kazi nyingi kama sio Bustani ni kwenye kuku ila baada ya pale alivokuja Mnyani tulikoma kila akiona sehemu ya wazi alitaka palimwe
Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo October 12,2024 alfajiri akiwa Nchi India alipokuwa akipatiwa matibabu.
August 02, 2024 Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 na aliagwa kwa kukagua gwaride rasmi la kijeshi katika Viwanja vya Mgulani (Twalipo Admistration Unit-TAU) Jijini Dar es salaam.
Soma:
1. Meja Jenerali Charles Mbuge astaafu utumishi wake jeshini
2. Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT, aliyekuwepo apelekwa Mgambo
3. Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?
Anajiita babalao😁Huyo Mnyani ndio kiboko yenu!anapatikana wapi apewe ndio U cdf vijana wazembe kabisa nyinyi!
Huwa anapanda mlima Kilimanjaro kila mwaka yuleSarakikya ana miaka 90, yupo Imara mpaka sasa, anaongea na anakumbukumbu nzuri, yaani sijui Siri ya uimara wake ni nini.
Nimempenda bure!Anajiita babalao😁
Ana ubabe flan, akiwasha gari Huku ofisini kwake kule getini wanafungua mapema sanaNimempenda bure!
Baba yake na Mbuge, alistaafu akiwa kanali.Hii familia ya Mbuge, almost asilimia 80 ya Wana familia ni Maaskari wa Jeshi pia maana Marehemu Baba yao, Mzee Mbuge alistaafu akiwa Mkuu wa Kambi moja wapo Mkoa fulani
Marehemu Charles Mbuge, alikuwa maarufu kuliko Wana familia wengine kutokana na kujiingiza kwenye burudani miaka ile ya Mwanzoni mwa 2000 akiimbwa na Twanga Pepeta akiwa na Cheo cha Captain, lakini umaarufu wake ulipanda zaidi wakati wa Utawala wa JPM, maana alitokea kupendwa na kupandishwa Cheo haraka haraka mno hadi wengine kusema "the CDF who was never be"
Poleni wote mlioguswa na Msiba huu
Tutaonana baadaye 😭😭
🤣🤣🤣eeeh huyo sasa ndio mjedaAna ubabe flan, akiwasha gari Huku ofisini kwake kule getini wanafungua mapema sana