Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lo ,masikini kaka yangu Abbas Kandoro.
Alikuwa mtu mwadilifu sana, hakuwa na mizaha mizaha kazini.
Na alimsikiliza kila mtu, na hakuwa mtu wa makuu.
Kitaaluma alikuwa economist, na kwenye planning alikuwa vizuri sana.
Majuzi wiki iliyopita, nikitoka Mbeya, pale karibu na Ifunda , Iringa, nyumbani kwao,nikawakumbusha wenzangu kwenye gari kuwa pale ndio kwao Abbas Kandoro, aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa ya DSM , Mbeya Mwanza n.k.
He led a simple life.
RIP Abbas Kandoro
Achana na hiyo, bana watoto wake wa kike acha kabisa, ebony booty kabisa, RIP mzee Kandoro...Jamani RC wetu aliyefanya mpaka maji ya vipacket tauter Kandoro
Hihihiiii (BURUANI )Haya ndio madhara ya kukimbia kimbia kupost uonekane wa kwanza kujua