Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
"Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"

Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒

Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
 
Hawa wanasiaasa wetu ni wajinga sana. Mtu unapiga hela badala ufungue biashara kubwa uajiri watu kuanzia 1000 na kuendelea.

Unatumia hela nyingi kugombea ubunge au urais. Iliniuma sana hela alizotumia Lowasa mwaka 2015.

Ile hela aliyotumia angeitumia katika uwekezaji angefanya mambo makubwa sana humu nchini. Wanasiasa wa kenya wakipiga hela wanawekeza nyumbani (Case study Nickolas Biwott na Jimi Wanjigi).

Huku mtu anatumia hela kugombea awamu ijayo mpaka unaogopa hii hela atairudishaje. Huu ni ujinga mkubwa sana na ukiangalia misafara ya magari inavyopita katika bara bara zetu mbovu.

Bora kuwa mfanyabiashara mkubwa kuliko kuwa Rais.
 
January hawezi kuwa Rais hapa TZ labda System yote iondoke kitu ambacho siyo rahisi hivyo. Amebuki kwa SSH basi tena.
 
jimi wanjigi hana qualifications za uongozi, hawezi kugombea hata u MCS tu na akashinda:pedroP:
 
January hawezi kuwa Rais hapa TZ labda System yote iondoke kitu ambacho siyo rahisi hivyo. Amebuki kwa SSH basi tena.
mtanzania yeyote alietimiza sifa, vigezo na masharti ya uongozi kikatiba na kisheria ana uhuru, haki na fursa ya kugombea uongozi wa nchi hii, bila mbambamba za mtu mwingine:pulpTRAVOLTA:
 
Hana uwezo huo ntakuja na Uzi

Yuko black mailed tayari

Kule aliposema anagombea Afrika kagombea?

Britanicca
ni kujipanga tu my friend,

kila kitu ni kwa Neema na Baraka za Mungu,

pakifungwa mlango wa kushoto basi, mlango wa kulia umefunguliwa,

hapana kukata tamaa hata kidogo, ni budii kwendra mbele,

changamoto na setbacks mbalimbali ni fursa muhumu sana za kujisahihisha na kusonga mbele kwa kasi zaidi, nguvu mpya na uhakika zaidi:BASED:
 
Back
Top Bottom