Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aligombea urais lakini 2022 na akawa hana sifa akawa disqualified.That is my point Jimmy katumia influence yake kuanzisha biashara kubwa kenya na kutengeneza ajira na si kuingia kwenye siasa. Kumbuka Jimmy ni mtoto wa the late Maina Wanjigi ambaye alikuwa Mp wa Kamukunji. Na Jimmy ni classmate wa Uhuru Kenyata na Gideon Moi ambao ni watoto wa Rais Kenyatta na Moi. Jimmy angekuwa mtanzania angehangaikia kuingia kwenye siasa. Lakini jamaa alijiposition kuwa strategist wa kuwasaidia watu kushinda na baadae akafungua makampuni ambayo yametengeneza ajira nyingi Kenya.
ni uhuru na haki yako kumchagua muwakilishi yeyote unaempenda, but pia nae ni uhuru na haki yake kuwapo kwenye dabe, kuna ubaya wowote hapo ndrugu zango 🐒labda apigiwe kura na baba yake...mm na heshima zangu niende mpigia kura january kweli??? 😎 .au nimpigie kura mwanamke yeyote ktk nafasi ya juu kabisa ya uongozi la ha shaa!...labda niwe nimenyweshwa pombe kali sijielewi
Habari zako labda kuku wa nyumbani kwako wanaweza kusoma huku wakidonoa."Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒
Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
Wanasiasa wa bongo utajiri wao haupo waziHawa wanasiaasa wetu ni wajinga sana. Mtu unapiga hela badala ufungue biashara kubwa uajiri watu kuanzia 1000 na kuendelea.
Unatumia hela nyingi kugombea ubunge au urais. Iliniuma sana hela alizotumia Lowasa mwaka 2015.
Ile hela aliyotumia angeitumia katika uwekezaji angefanya mambo makubwa sana humu nchini. Wanasiasa wa kenya wakipiga hela wanawekeza nyumbani (Case study Nickolas Biwott na Jimi Wanjigi).
Huku mtu anatumia hela kugombea awamu ijayo mpaka unaogopa hii hela atairudishaje. Huu ni ujinga mkubwa sana na ukiangalia misafara ya magari inavyopita katika bara bara zetu mbovu.
Bora kuwa mfanyabiashara mkubwa kuliko kuwa Rais.
Kumbe unafuga kuku alafu unaongea na kuku nyumbani. hapa unafata ninishetani si urilax tu makasiriko ni ya nini sasa kama kuku wako wana konda? walishe vizuri bana 🐒
Ujawai kufuga hata paka zaidi ya kijambio chako unachokilinda siku ccm wakikugeukAmie ni wa mang'ombe pekeyake shetani sio kuku 🐒
upo sahihi hakuna ubaya...awepo tu kufurahisha genge la watia nia 😀ni uhuru na haki yako kumchagua muwakilishi yeyote unaempenda, but pia nae ni uhuru na haki yake kuwapo kwenye dabe, kuna ubaya wowote hapo ndrugu zango 🐒
kama kawaida yangu kitaalamu zaidi,upo sahihi hakuna ubaya...awepo tu kufurahisha genge la watia nia 😀
Linda kijambio chako ndani ya ccm yako. Safari hii watakuwekea ngamiaumeanza kuyaporomosha shetani 🐒
Acha kupotosha umma, January Malope hawezi kamwe kuwa Rais wa JMT,labda Rais wa malofa,elewa neno kamwe."Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒
Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?