Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

"Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"

Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒

Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
Acha kupotosha, watu wanajiandaa na 2025
 
"Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"

Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒

Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
Huko CCM mnabanduana tu
 
Mada ya kijinga na Kibwegge kabisa ZERO 🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🧠🤓🤣😅
 
jimi wanjigi hana qualifications za uongozi, hawezi kugombea hata u MCS tu na akashinda:pedroP:
That is my point Jimmy katumia influence yake kuanzisha biashara kubwa kenya na kutengeneza ajira na si kuingia kwenye siasa. Kumbuka Jimmy ni mtoto wa the late Maina Wanjigi ambaye alikuwa Mp wa Kamukunji. Na Jimmy ni classmate wa Uhuru Kenyata na Gideon Moi ambao ni watoto wa Rais Kenyatta na Moi. Jimmy angekuwa mtanzania angehangaikia kuingia kwenye siasa. Lakini jamaa alijiposition kuwa strategist wa kuwasaidia watu kushinda na baadae akafungua makampuni ambayo yametengeneza ajira nyingi Kenya.
 
"Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"

Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒

Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
Remote control yake inasemaje
 
labda apigiwe kura na baba yake...mm na heshima zangu niende mpigia kura january kweli??? 😎 .au nimpigie kura mwanamke yeyote ktk nafasi ya juu kabisa ya uongozi la ha shaa!...labda niwe nimenyweshwa pombe kali sijielewi
 
Back
Top Bottom