Ivo yaanπ€Atajuwa yeye na familia yake
Ova
January hawezi kuwa Rais hapa TZ labda System yote iondoke kitu ambacho siyo rahisi hivyo. Amebuki kwa SSH basi tena."Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea π
Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
jimi wanjigi hana qualifications za uongozi, hawezi kugombea hata u MCS tu na akashindaHawa wanasiaasa wetu ni wajinga sana. Mtu unapiga hela badala ufungue biashara kubwa uajiri watu kuanzia 1000 na kuendelea.
Unatumia hela nyingi kugombea ubunge au urais. Iliniuma sana hela alizotumia Lowasa mwaka 2015.
Ile hela aliyotumia angeitumia katika uwekezaji angefanya mambo makubwa sana humu nchini. Wanasiasa wa kenya wakipiga hela wanawekeza nyumbani (Case study Nickolas Biwott na Jimi Wanjigi).
Huku mtu anatumia hela kugombea awamu ijayo mpaka unaogopa hii hela atairudishaje. Huu ni ujinga mkubwa sana na ukiangalia misafara ya magari inavyopita katika bara bara zetu mbovu.
Bora kuwa mfanyabiashara mkubwa kuliko kuwa Rais.
Sasa si Umtaje kuwa ni JANUARI TU."Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi"
Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea π
Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
mtanzania yeyote alietimiza sifa, vigezo na masharti ya uongozi kikatiba na kisheria ana uhuru, haki na fursa ya kugombea uongozi wa nchi hii, bila mbambamba za mtu mwingineJanuary hawezi kuwa Rais hapa TZ labda System yote iondoke kitu ambacho siyo rahisi hivyo. Amebuki kwa SSH basi tena.
Fursa ya kugombea anaweza kuwa nayo lakini kupata urais wa TZ ndipo kazi ilipo!!mtanzania yeyote alietimiza sifa, vigezo na masharti ya uongozi kikatiba na kisheria ana uhuru, haki na fursa ya kugombea uongozi wa nchi hii, bila mbambamba za mtu mwingine
ni kujipanga tu my friend,Hana uwezo huo ntakuja na Uzi
Yuko black mailed tayari
Kule aliposema anagombea Afrika kagombea?
Britanicca