Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

aligombea urais lakini 2022 na akawa hana sifa akawa disqualified.

alianza harakati hizo kwa kutaka kugombea urais kupitia ODM wakambinya, wakachapisha fomu moja tu kwaajili ya Raila, akakasirika, japo alikua life member wa ODM lakini alilazimika kujiondoa akaanzisha Safina Party chama ambacho yeye ndie kiongozi mkuu mpaka sasa, lakin bado alikua disqualified kua presidential candidate 2022,
huko sio kutapanya pesa huko?

kwanza nani atamchagua jimmy wanjigi na majivuno yake yale? au hata mwanasiasa gani ataungana na jimmy wanjigi mbishi na mjuaji vile....

for sure ana pesa but politically hana mvuto, wala hana ushawishi..
havutii makundi mbalimbali kwasabb licha ya utajiri alio nao, jimmy wanjigi ni mbinafsi na mchoyo sana πŸ’
 
labda apigiwe kura na baba yake...mm na heshima zangu niende mpigia kura january kweli??? 😎 .au nimpigie kura mwanamke yeyote ktk nafasi ya juu kabisa ya uongozi la ha shaa!...labda niwe nimenyweshwa pombe kali sijielewi
ni uhuru na haki yako kumchagua muwakilishi yeyote unaempenda, but pia nae ni uhuru na haki yake kuwapo kwenye dabe, kuna ubaya wowote hapo ndrugu zango πŸ’
 
Habari zako labda kuku wa nyumbani kwako wanaweza kusoma huku wakidonoa.
 
Wanasiasa wa bongo utajiri wao haupo wazi
Lowassa mwenyewe alisema yeye ni masikini pesa ana changiwa na marafiki zake
 
Wanasiasa wa bongo utajiri wao haupo wazi
Lowassa mwenyewe alisema yeye ni masikini pesa ana changiwa na marafiki zake
kuna ukweli lakini, nadhani sote tumeshuhudia hayati E.N.Lowasa amepumzika kimaskini tu mbele za haki πŸ’
 
upo sahihi hakuna ubaya...awepo tu kufurahisha genge la watia nia πŸ˜€
kama kawaida yangu kitaalamu zaidi,

kila mtia nia aliefuata kikamilifu ushauri na maoni yangu ya kitaalamu, kisayansi kisiasa alifanikiwa pakubwa na kukwaa alichotamani kukipata.

nawaalika watia nia wote for free advice mpaka December 2024, kuanzia January 2025 utachangia kidogo πŸ’
 
Acha kupotosha umma, January Malope hawezi kamwe kuwa Rais wa JMT,labda Rais wa malofa,elewa neno kamwe.

Niko pale nimekaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…