Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

Je atakuwa hai hiyo 2030????
 
Acha kupotosha umma, January Malope hawezi kamwe kuwa Rais wa JMT,labda Rais wa malofa,elewa neno kamwe.

Niko pale nimekaa
relax tu gentleman,

una haki na uhuru kumchagua muwakilishi yeyote umpendae, na yeyote pia ana haki na uhuru anaweza kugombea nafasi anayo jiskia ana sifa na vigezo mahususi kikatba πŸ’
 
πŸ™πŸ™πŸ™, miongoni mwa wanasiasa ambao nawachukia ni Februari na Nape, KJ, Kinono, nayachukia sana majizi yale.
chuki binafsi ni kitu mbaya sana aise...
si itakutafuna sana gentleman na unaweza kujisababishia matatizo ya figo 🀣
 
Mie sio mwizi Kama nyinyi Mafi SIEM shekhe Mimi ni mlipa Kodi ambazo nyinyi zinawatoa kibri nakujiona maboss zetu kumbe ajira hizo sisi ndio tumewapa shenZy type
relax gentleman punguza mihemko na makasiriko, kadi, tozo na ushuru unaotzwa wewe mimi na waTanzania wengine, serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi madhubuti na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan inajenga mabarabara, Reli, mashule mahospitali, ulinzi na usalama n.k na kidogo inayobaki ndio wafanyakazi wa umma wanagawiwa kidogo kidogo πŸ’

so,
hakuna cha waTanzania kinacholiwa bure gentleman πŸ’
 


Hii nchi kila siku itazidi kuwa ngumu
 
Wala si chuki binafsi, ni mafisadi papa, ma mafia
uzuri ni kwamba nchi yetu inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba na sio maoni na mtazamo wa mtu dhidi ya Fulani na Fulani πŸ’

una ushahidi na vitendo vya kihalifu dhidi ya yeyote yule, unaripoti panapohusika na mahakama zetu ziko wazi pia πŸ’
 
Mahakama zipi?
Majaji wapi?
Kwani Hukumsikia Roastiam Azizi alivyosema kuhusu majaji wa.... Nyika?
Mlileta mahakama ya Mafisadi, hiyo mahakamani imesimama kesi gapi za Mafisadi na mafisadi wagapi wamefungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…