monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Wajuvi nina mpango wa kwenda zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda stone town Kuna vitu vingi na Bei Ni rahisi ila bandarini utalipia ushuru Kama utapita chocho haya kwa mfano ukiwa Tanga Kuna kipumbwi, pangani na ushongo, dsm labda bagamoyo.Wajuvi nina mpango wa kwenda zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
Bei zilikuwaje na hapo bandarini ndio target yetu kusikia mkuu.Niliwahi kwenda kununua TV flat screen used mbili
Baada ya miaka miwili zikaanza kusumbua
Mfano kama nikienda kununu Tv moja ya laki 350,000 nayo inalipiwa ushuru? Na kitu kama hiyo PS ya kuweka kwa begi unalipia ushuru? Na kama ushuru ni bei gani?Nenda stone town Kuna vitu vingi na Bei Ni rahisi ila bandarini utalipia ushuru Kama utapita chocho haya kwa mfano ukiwa Tanga Kuna kipumbwi, pangani na ushongo, dsm labda bagamoyo .
Pia uwe na muda wa kuzunguka maana maduka yako mbali mbali kuko poa kwa kweli, Karibu , je unatokea wapi kwenda Zanzibar?
Kitu chochote unachoweza kuweka kwenye bag hakina shida hyo nchi 32 mpaka inafika gharama yake inafika elfu 60 ila nchi 32 unaweza pata kwa bei ya laki 2 mpka laki 2 na elfu 20.Mfano kama nikienda kununu Tv moja ya laki 350,000 nayo inalipiwa ushuru ? Na kitu kama hiyo PS ya kuweka kwa begi unalipia ushuru ? Na kama ushuru ni bei gani ?
Itakuwa ulipata zile zenye hitilafu mkuuNiliwahi kwenda kununua TV flat screen used mbili
Baada ya miaka miwili zikaanza kusumbua
Nashukuru sana! Wewe upo Zanzibar?Kitu chochote unachoweza kuweka kwenye bag hakina shida hyo nchi 32 mpaka inafika gharama yake inafika elfu 60 ila nchi 32 unaweza pata kwa bei ya laki 2 mpka laki 2 na elfu 20.
Mkuu hata ukiweka kwenye begi unapigwa kodiKule unapata kwa bei nafuu. Lakini unaweza kutana na kodi wakati wa kusafirisha. Ambapo ukipiga hesabu ya jumla unaweza kuta tofauti ya bei ni ndogo sana.
N.B: The statement holds only if you consider bulky purchases
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu hata ukiweka kwenye begi unapigwa kodi
Hapana mkuu ila nilikuwa nachukua vitu zanzibar naleta dar ila kuna vitu vilitokea nikaacha ila zanzibar kuna hela sana vijana wenye tamaa walinirudisha nyuma.Nashukuru sana! Wewe upo Zanzibar?
Hapana yaani kuna mtaa unaitwa kwa mchina huko ndo kuna vitu used kama pasi tv blender na heater kwa hyo bei inategemea ukikuta mzigo umeshushwa vitu vinakuwa rahisi ila mda mwingine mizigo inachelewa bandarini hvyo vitu vinakuwa ghali kwa hyo unaenda kwa timing unachukua unaenda mpaka bandarini ukifika pale unaweza uka bargain na wale wafanyakazi wa AZAM au wale wabeba mizigo au ukiamua unaweza ukasafirisha usiku kuna meli ya mizigo huwa unaondoka usiku mnafika asubuh mapema unawahi kutoka kabla vibaka wa tra hawajaja ila ni bora ukatafuta wale wafanyakazi wa AZAM una mpoza anaingiza ndani na dar pia atakutolea mpaka njepwilo na nikishainunua nchi 32 na kulipia mpaka elfu 60 kazi inakuwa tayarr
Sasa mkuu nikinunua ps4 slimbili nikazisweka kwenye begi la mgongoni bado tra watanidaka?biashara ya muungano ni biashara kichaa man. esp trading bidhaa kitoka zanz kuja bara, ina risks nyingi sana ambapo ukizicalculate gharama zinakua kubwa kuliko kutrade locally.(bara). kwanza uaminifu wa wafanyabiashara ni mdogo..waweza funga mzigo wa kwanza safi wa pili ukasema nipige simu tu uletwe ukakwama mazoma, bidhaa zao sio za kisasa esp kwenye mitumba, wao wanatumia vikiharibika hawamind kufix sababu kwao hivyo vitu wanatumiwa na relatives london na uae ..ushuru mkubwa apo bandari, transport cost inakupiga.