monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
- Thread starter
- #21
Ila mkuu hapo kuongea na watoa huduma wa azam kama mgeni nao si wanaweza kukupigaHapana yaani kuna mtaa unaitwa kwa mchina huko ndo kuna vitu used kama pasi tv blender na heater kwa hyo bei inategemea ukikuta mzigo umeshushwa vitu vinakuwa rahisi ila mda mwingine mizigo inachelewa bandarini hvyo vitu vinakuwa ghali kwa hyo unaenda kwa timing unachukua unaenda mpaka bandarini ukifika pale unaweza uka bargain na wale wafanyakazi wa AZAM au wale wabeba mizigo au ukiamua unaweza ukasafirisha usiku kuna meli ya mizigo huwa unaondoka usiku mnafika asubuh mapema unawahi kutoka kabla vibaka wa tra hawajaja ila ni bora ukatafuta wale wafanyakazi wa AZAM una mpoza anaingiza ndani na dar pia atakutolea mpaka nje