Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

Bei haziachani sana na dar,alafu utakutana na Kodi bandarini hasa kama umenunua vitu vipya,
 
Kwahiyo mkuu unataka sema nikibeba ps4 slim mbili nikizisweka kwenye begi nitàlipa kodi maana nilisikia kuna scanner (metal detector)
Tatizo unashindwa kutofautisha kati ya kodi na gatepass kodi inategemea na ukubwa wa mzigo ila gatepass ni compulsory yaani lazima ulipe ambayo kwa zanzibar kule ilikuwa unalipa elfu 5 kama gatepass na dar ni elfu 9 ukibeba TV chini ya nchi 32 unalipa tu gatepass mimi nilikuwa nabeba TV nchi 24 nafunga mbili mbili nabeba na kwenye begi langu nina pass nina heater na blender hyo scanning unayozungumzia lengo lake kubwa ni kukagua vitu visivyoruhusiwa kubebwa kama bangi na madawa ya kulevya pamoja na silaha hatarishi ila sio kwamba inakagua vitu ulivyobeba wakukamate narudia kitu chochote unachoweza kubeba mwenyewe aidha kwenye begi au mkononi vidogo vidogo kama nilivyotelea mfano havina shida mkuu na jamaa wa AZAM ukiwa tayari nitakupa namba zake PM utamcheck yeye ndo mambo yake hayo.
 
Mkuu ni vitu used tu ndo bei chee au hata vya dukani navyo bei chee na eneo gani vinapatikana zaidi
 
Hapana yaani kuna mtaa unaitwa kwa mchina huko ndo kuna vitu used kama pasi tv blender na heater kwa hyo bei inategemea ukikuta mzigo umeshushwa vitu vinakuwa rahisi ila mda mwingine mizigo inachelewa bandarini hvyo vitu vinakuwa ghali kwa hyo unaenda kwa timing unachukua unaenda mpaka bandarini ukifika pale unaweza uka bargain na wale wafanyakazi wa AZAM au wale wabeba mizigo au ukiamua unaweza ukasafirisha usiku kuna meli ya mizigo huwa unaondoka usiku mnafika asubuh mapema unawahi kutoka kabla vibaka wa tra hawajaja ila ni bora ukatafuta wale wafanyakazi wa AZAM una mpoza anaingiza ndani na dar pia atakutolea mpaka nje
Sema mnafichua Siri asee[emoji849]
 
Mkuu una kampuni na vipi kuhusu uaminifu maana wapigaji ni wengi
100%
Screenshot_20220825-101904.jpg
 
Mfano kama nikienda kununu Tv moja ya laki 350,000 nayo inalipiwa ushuru? Na kitu kama hiyo PS ya kuweka kwa begi unalipia ushuru? Na kama ushuru ni bei gani?
Kwa Bei ya 350 ushuru Ni sh elfu sitini bandarin 60,000. dar wakala anakutolea mzigo wako nje anakupa , na hiyo sitini unalipia kabisa kipindi unanunua mzigo mwenye duka anawasiliana na agent wake wewe unapokea mzigo bila Shaka ki halali kabsa.
 
Asubuhi Ile meli haishushi mzigo kabla TRA hawajafika ng’o[emoji28][emoji28]

Mi nshalala na kulala baharini nitoe mzigo kilaini nikawakuta pale maskani yao

Siku hizi natumia agent yeye anapakilia mzigo na kushusha utaamua unaufuata au wakuletee ulipo

Bei inapungua
Mkono mtupu fanya kazi na mabaharia wale wanajua chocho zote za mafisadi
 
Mi sitoi mzigo wowote nowdays
Nanyoosha miguu unanifikia ulipo

Nimeandika hapo natumia agents.
Nyoosha maelezo mkuu taratibu za kutumia ajent zipoje na kwa tv ya inch 43 ajent analipwa pesa ngapi na huyo ajent ni wa bongo au visiwani
 
Back
Top Bottom