Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

Ukitaka bei rahisi ya vitu nenda pemba mkuu.
 
Lbd uwe na nyambizi ununue upite chini kwa chini au uogelee bila ivyo uta jikuta ume poteza mda tu
 
Vipi kuhusu bei ya simu, mwenye kufahamu hili...
 
IMG-20220720-WA0009.jpg
IMG-20220720-WA0011.jpg
IMG-20220720-WA0024.jpg
 
Nilinunua tv bei chee sana nikasafirisha kwa posta sikulipia zaidi ya cost za ems na uku nikachukua mzgo wangu fresh, pia niliagiza sim ila kuna mwana yupo kule hua ndio ananichukulia then anatuma yeye.
 
Asubuhi Ile meli haishushi mzigo kabla TRA hawajafika ng’o[emoji28][emoji28]

Mi nshalala na kulala baharini nitoe mzigo kilaini nikawakuta pale maskani yao

Siku hizi natumia agent yeye anapakilia mzigo na kushusha utaamua unaufuata au wakuletee ulipo

Bei inapungua
Naomba connection ya huyo agent wa Zenji
 
Nyoosha maelezo mkuu taratibu za kutumia ajent zipoje na kwa tv ya inch 43 ajent analipwa pesa ngapi na huyo ajent ni wa bongo au visiwani
Sasa ndugu unataka nikwambie agent analipwa pesa ngapi unajua mimi natoa mzigo gan?
Agents wapo wanajulikana ukitaka namba karibu PM

Or nenda bandarini pale ulizia mmojawapo
1.Kirikuu
2.Said
3.Mohamed
4.Teacher

Unapoulizia pale ujue kila mtu anasaka fursa so kuwa makini.
 
Wajuvi nina mpango wa kwenda Zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
Kama upo serious na biashara hiyo mimi naweza kununua na kuvituma toka hapa Dubai kwakuwa sio vitu vikubwa sana wawezapata cheaper na quality nzuri kama upo serious PM
 
Back
Top Bottom