Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

Ila mkuu hapo kuongea na watoa huduma wa azam kama mgeni nao si wanaweza kukupiga
 
Aaseeeh nashukuru sanaaa !! Maaana nataka nikanunue laptop na Samsung z fold 3 kule nimeona ni 1.2 milioni !! Huku bara 3.6 nazani kwa vitu hivyo sitapata challenge
 
Nimeipenda hii
 
Mkuu pwilo kolo og,una uzoefu wa kujua kodi ya kuingiza gari bara kutoka zanzibar?
 
Sasa mkuu nikinunua ps4 slimbili nikazisweka kwenye begi la mgongoni bado tra watanidaka?
inaweza kuona ama isionwe. weka na nguo pia usiweke electronics zenye asili ya vyuma au vyenye betri.. weka na nguo ili kwenye scanner vipite. adapotor zake tafuta mbovu af zikate ziwe bila vichwa ikitokea wakaziona declair ni used umenunua zikiwa mbovu( kama spare)
 
Nimeshawahi kwenda Zenji kununua laptop na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza, picha linaanza watu wanauza kama hawauzi (customer care) mbovu sijawahi ona, pili quality ambao nilikuwa naitafuta hamna. Nilijuta zaidi labda nilienjoy bahari tu. Kufika K/koo kwa Wasomali nikipata mbonge la HP. Ushauri, go for your own risk but Bongo is the best.
 
Dah bora
Bora mkuu umenifungua macho maana niliambiwa items zinazoingia kwenye beg la mgongoni hulipi kodi kama ningeenda kichwakichwa ingekula kwangu
 
Ila mkuu hapo kuongea na watoa huduma wa azam kama mgeni nao si wanaweza kukupiga
Hapana wapo vizuri hawezi fanya hvyo kwanza ni watu wengi wanafanya hvyo halafu wanakuwa na uniform zao na Id ni ngumu sijawahi kuona au kusikia mtu katapeliwa na wale jamaa.
 
Aaseeeh nashukuru sanaaa !! Maaana nataka nikanunue laptop na Samsung z fold 3 kule nimeona ni 1.2 milioni !! Huku bara 3.6 nazani kwa vitu hivyo sitapata challenge
Havina shida mkuu hvyo au ukiona vipi unatafuta mshikaji wa karibu ambaye umepanda naye unamwomba anabeba na yeye baadhi mnatoka wote nje anakupa ila sidhani kama itakuwa changamoto hyo TV sana sana ndo wanakomaa nazo.
 
Kwahiyo mkuu unataka sema nikibeba ps4 slim mbili nikizisweka kwenye begi nitàlipa kodi maana nilisikia kuna scanner (metal detector)
 
Nimepata dili la kuja zenji jamaa angu ananiambia kuna lg smart tv nchi 43 zoote mbili kwa laki 7 brand new. Aseee naja
 
Havina shida mkuu hvyo au ukiona vipi unatafuta mshikaji wa karibu ambaye umepanda naye unamwomba anabeba na yeye baadhi mnatoka wote nje anakupa ila sidhani kama itakuwa changamoto hyo TV sana sana ndo wanakomaa nazo.
Mkuu ni vitu used tu ndo bei chee au hata vya dukani navyo bei chee na eneo gani vinapatikana zaidi
 
Wajuvi nina mpango wa kwenda Zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
Mkuu nicheki nikuagizie direct kutoka Dubai.
whatsapp +971527794329
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…