Aliyewaloga Watanzania awasamehe maana inatosha sasa!

ongezea na wale wanaosaidiana nao kuandamana mpaka wanapoteza maisha
 
Aliewaroga watanzania alishakufa, hakuna namna tena!
Ukitaka kuamini watanzania wamelogwa ngoja mtu kama JOHN HECHE au TUNDU LISU ahamie CCM au chama kingine chochote utaona atakavyotukanwa na wanachadema utafikiri kinacholeta maendeleo ni chama au watu makini bila kujalisha wako sehemu gani.

Siasa ni ukumanyoko!
 
Usisahau
Wabunge wa CC Wanapendwkeza kwanza wapimwe mik.... ndu yao ili wajue nani ni upinde !
Ungetegemea mbunge atoe pendekezo kama hili bungeni kweli?
 
watu waelewe kuhama chama ni haki na sio usaliti sasa kuna vchaa mtu kahama chadema wanatukana yaaani wanataka mtu akae sehem hakuna manufaa
 
ongezea na wale wanaosaidiana nao kuandamana mpaka wanapoteza maisha
Kwanza watanzania watambue kuwa kitendo cha Lisu kuwekwa ndani kunanwongezea Brand na kinafanaya familia yake iendelee kuneemeka kwa kupewa usaidizi na wadau mbalimbli wa ndani na nje ya nchi😀.

Sasa kapuku asiyejiweza kimaisha anaamini lisu ana teseka kumbe anayeteseka ni yeye anayewaza hivyo😁.
 
Kama marehemu sio ndugu yako msibani utaenda na tabasamu halafu mawazo yako hayatakuwa kwenye msiba
Yeah, Kila mtu angalie uwezakano wa kujikwwmua ndipo afikirie namna ya kuwakwamua wengine.

Ushujaa wa kipuuzi umeishia miaka ya 1990's
 
na familia yake inakula vizuri nje ya nchi
 
Usisahau
Wabunge wa CC Wanapendwkeza kwanza wapimwe mik.... ndu yao ili wajue nani ni upinde !
Ungetegemea mbunge atoe pendekezo kama hili bungeni kweli?
Na Kuna waatanzania wanawashabikia wabunge wanaotoa hoja za kibwege.
kwa mfano huyo aliyetoa hiyo hoja ameshapata umaarufu kisa ujinga aliouzungumza.
 
Watanzania wengi tuna matatizo ya akili.
Ukishakuwa shabiki wa simba na Yanga, ccm na chadema matatizo yako ya akili yamefika level ya juu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…